Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

BIG BRAIN, ni wachache sana wenye akili kubwa kiasi hiki
 
Fck u slw slow ...huu ni uongo wa wazi kabisaaa
Ye c alikua anawaambia wapinzan waende mahakaman kma wana ushahid
Kwann asiende na yy
 
Huyo ana kiapo hawezi kumwaga siri nyingi sema Ndugai inaonekana alikua kikwazo sana fomu ikachukuliwa Leo baada ya yeye kutangulia sema alikua Muoga mno

Ndio anachosubiria wajichanganye kumjibu fyongo amwage mafaili yote hadharani, wewe hujamwelewa bado ila subiria episode nyingine utamwelewa taratibu yeye anawajua wote wanaohusika ila anawatonya waache Uhuni

Sogeza kete hio
 
So Mheshimiwa kile ki note alichokionesha pale stend ya Magufuli kulikuwa na kitu kinaendelea
 
Swali la kindezi issue ni muda sahihi na wakati sahihi wa kuongea na yeye ameona huu ndio wakati sahihi wa kuongea
JIBU la kindezi unajua maana ya neno uzalendo? Lisu alishambuliwa kwa risasi na boss wake alikuwepo kipindi hicho kwa NIN hakuonesha uzalendo na kulaani tukio Hilo, Leo HII NDO anakumbuka KUWA lisu aachiwe bila sharti JE lissu angekufa?unatetea SANA huwa anakununulia bando?



Kwishaaaaa
 
Daah sasa hii ni ujasusi kwenye harakati za umalaya sindio πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ndio hivyo aise...nlitaka kuparamia mahali ...
 
Ndio anachosubiria wajichanganye kumjibu fyongo amwage mafaili yote hadharani, wewe hujamwelewa bado ila subiria episode nyingine utamwelewa taratibu yeye anawajua wote wanaohusika ila anawatonya waache Uhuni

Sogeza kete hio
Hujanishawishi issue ni uzalendo issue ni uchaguzi WA RAIS? Bro ukijua kutofautisha haya mambo MAWILI kwa polepole huto hangaika NAE HUYO, nmekuuliza mzalendo GANI anakaa KIMYA kwa kumuogopa boss wake ALIPO taka roho ya lissu? Wazalendo ni wale walio vujisha bilioni zilizo PIGWA juzi HAO ndo wazalendo Sababu hawahitaji teuzi yoyote Ila polepole malipo Yao tunayajua huwa ni madaraka na kama SIO KWANINI asinge liamsha kwa magufuli? SABABU HUYO lisu alipigwa risasi KIPIND hicho sio SASA yuko gerezani tunajua



Kwishaaaaa a
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…