Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

Polepole ameanza kuniprove wrong. Inshort NAANZA kumpuuzia anaweza kua Yuko wright ila anaongeza chumvi. Alafu anapanga tukio kubwa unasubiri ila akifanya halifanyi kwa ukubwa ulio kusudiwa SIKU HIZI hata simfatilii

Kwishaaaa
Kwani alikutumia barua ya mwaliko? Ukiona inakuuma ujue ipo moyoni.We tuachie wengine tupinguzie mawazo na Michoko ya kutafuta riziki,
 
JIBU la kindezi unajua maana ya neno uzalendo? Lisu alishambuliwa kwa risasi na boss wake alikuwepo kipindi hicho kwa NIN hakuonesha uzalendo na kulaani tukio Hilo, Leo HII NDO anakumbuka KUWA lisu aachiwe bila sharti JE lissu angekufa?unatetea SANA huwa anakununulia bando?



Kwishaaaaa
Hivi mnaoleta hoja km hizi huwa mnatumia masaburi kufikiria?
Mbona hizi hoja ni zakitoto sana
 
Nia yake ni kusema ukweli but anaogopa kuwa offend vigogo. Remember ni former spy so bado yupo under oath.
Ana umma na kupuliza
Mtu kashajouzulu ubalozi na kusema rais hafai akae kando anaogopa vigogo bado?

Kama anaogopa vigogo si angekaa kimya na ubalozi wake.
 
Kama mambo muhimu ya taifa yangekuwa yanaisha kwa siku moja ya maongezi, dunia yote ingekuwa imetatuliwa matatizo yake kwa haraka, ukweli ni kwamba, masuala ya haki, katiba, na mustakabali wa nchi yanahitaji mazungumzo ya mara kwa mara, ufafanuzi wa kina, na uvumilivu wa kuyajadili tena na tena , hizii si hadithi za ubuyu...

Hata Donald Trump, akiwa Rais wa Marekani, aliwahi kusema ataweza kumaliza vita vya dunia kwa siku moja tu akipewa nafasi, hadi leo, vita hivyo vinaendelea , hii inaonyesha kwamba masuala makubwa ya kisiasa na kimataifa hayawezi kumalizwa kwa maneno machache au siku moja, yanahitaji muda, mikakati, na mjadala wa mara kwa mara....
Wapi nimesema mambo muhimu ya taifa yanaisha kwa siku moja ya maongezi?

Unajua kusoma kwa ufahamu wewe?

Donald Trump unamuona ana akili timamu wewe?
 
Kwaupande wa siasa za bongo we ni boya tu.
Pole pole kawajambisha wazee wako wewe kifaranga kaa kwa kutulia subiri matokeo.
Another ad hominem logical fallacy.

Hujaweza kujenga hoja kuonesha kwa nini mimi siasa za Bongo sizielewi.

Na hapa I am not necessarily talking aboit siasa za Bongo. I am talking about governance, truth, integrity.

Ila wewe guluguja ngumbaru hujui tofauti. You are like a fish in watwr, you don't know anything else.

Boya linaweza kuwa kitu muhimu sana katika kumuokoa mtu anayezama ila wewe mjinga umekaririshwa boya ni kitu kibaya.

Bloody fool.
 
Kuna kausemi "UKIWA MUONGO SHARTI UWE NA KUMBUKUMBU" Hayati BENJAMIN G. HAULE 1992
Kitu muhimu ukampatie yeyote tuuu asiye muhimu hata kama ni mbegu za mtama au alizeti tu ni lazima utampatia mtu maalum atakae zifikisha shambani si hovyo
 
Anachozungumza Polepole si mambo muhimu kwa taifa?
Yani hapo ndipo mwisho wa uelewa wako?

Nakwambia hivi, hata kama anayoongea Polepole ni mambo muhimu ya taifa, na hata kama mambo muhimu ya taifa hayaishi kuongelewa kwa siku moja, Polepole angeweza kuongea mambo anayotaka kuongea on this spwcific subject katika press conference na Q&A session ya mara moja.

Kufikiri vinginevyo ni logical non sequitur.

Mambo muhimu ya taifa yataendelea kuwa discussed tu.

Ila Polepole angeweza kuweka points muhimu zote akaongea siku moja akamaliza yake akawaachia wengine.

Anadunduliza hivi habari kwa sababu anataka attention na mtaji wa kisiasa.

Ukishasikia mwanasiasa anasema ana mengi hajayatoa, wakimfanya hivi atatoa zaidi, ujue huyo hana lengo la kutoa ukweli ana lengo la kucheza mind games na kujipatia insurance policy kwenye siasa zake.

Hiyo ametunyima habari muhimu za kitaifa kwa sababu zake binafsi.
 
Most likely mpango wa kumuua Magu ulikuwepo.Polepole yuko sahihi.

Magu alijaribu kuthibiti lakini kuna kitu hakukigundua.Kama angekigundua angekuwa bado yuko hai mpaka leo.

Angeiangalia kwa jicho la kijasusi ile pattern ya viongozi wake kufa wakiwa wanafuatana pengine angeweza kugundua kulikuwa kuna kitu ambacho ni zaidi ya korona.

Hata uvumi uliokuwa unavuma kwamba Magu anaumwa,wahuni walisimama msikitini kudanganya umma kuwa Magu haumwi,yuko anachapa kazi.

Kama wangesema ukweli Magu alikuwa anaumwa na ni korona,Magu asingekufa.Niliweza kuwasaidia watu wengine tena wakiwa na comorbid conditions lakini hawakufa kwa korona mpaka leo wapo wanadunda,binafsi nisingeshindwa kumsaidia Magu asife kwa korona.
Na wasiwasi na hawa watu wanaojifanya hua wanatabiri,serikali iwafuatilie kwa undani sana iwabananishe
Hawa akina Lema na baadhi ya Manabii huko YouTube
 
Narudia tena, kama HP anaongea na wananchi basi ni halali apuzwe.
Lakin kama anaongea na anaowaongea kwenye topics zake basi ni wakuzingatia.

Yaani ukikuta watu wanazozana wakidhani hakuna anayewaskia ujue watapasuana ukweli mtupu.
Ila ukiona watu marafiki wanaanzisha mzozo sokoni usiwazingatie sana.
 
Ukweli magurufuri aliuawa,,,na mipango ilihusisha usalama wataifa na wafanya baishara wakubwa akina taifa gas,,mkwele etc so nikweli anachosema polepole.Tusimpuuze...sbb angalia mfumo wa Vigo ukivyokuwa unakwenda,,alianza mkaba ambaye alikuwq kigingi
 
Hivi mnaoleta hoja km hizi huwa mnatumia masaburi kufikiria?
Mbona hizi hoja ni zakitoto sana
Hoja za kitoto hujazijibu mkuu? Huwa unakunywa pombe? Ok pombe ikiisha KICHWANI tutaendelea kwa SASA pumzika mkuu. Feel sorry kama NME kosa Mimi mkuu Asante kwa kunchallenge


Kwishaaaa
 
Ukweli magurufuri aliuawa,,,na mipango ilihusisha usalama wataifa na wafanya baishara wakubwa akina taifa gas,,mkwele etc so nikweli anachosema polepole.Tusimpuuze...sbb angalia mfumo wa Vigo ukivyokuwa unakwenda,,alianza mkaba ambaye alikuwq kigingi
Yatafahamika yote,Wabaya wa Taifa watajulikana
 
Back
Top Bottom