Kwaupande wa siasa za bongo we ni boya tu.This logical fallacy is called ad hominwm.
Halafu mimi sikai Ulaya wewe guluguja ngumbaru.
Kwani unawachukuliaje tax drivers?Siri nyingi upita penye uchafu na midhaha.Penye giza nio watu uona zaidiPolepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Kwani alikutumia barua ya mwaliko? Ukiona inakuuma ujue ipo moyoni.We tuachie wengine tupinguzie mawazo na Michoko ya kutafuta riziki,Polepole ameanza kuniprove wrong. Inshort NAANZA kumpuuzia anaweza kua Yuko wright ila anaongeza chumvi. Alafu anapanga tukio kubwa unasubiri ila akifanya halifanyi kwa ukubwa ulio kusudiwa SIKU HIZI hata simfatilii
Kwishaaaa
Embu jaribuni kutuliza vichwa hivi kweli Tajiri kama Rostam kama kweli Pole pole anasema uongo angehangaika kumjibu? Mambo ni moto sana msichukulie poaWajinga ndio waliwao
Hivi mnaoleta hoja km hizi huwa mnatumia masaburi kufikiria?JIBU la kindezi unajua maana ya neno uzalendo? Lisu alishambuliwa kwa risasi na boss wake alikuwepo kipindi hicho kwa NIN hakuonesha uzalendo na kulaani tukio Hilo, Leo HII NDO anakumbuka KUWA lisu aachiwe bila sharti JE lissu angekufa?unatetea SANA huwa anakununulia bando?
Kwishaaaaa
Mtu kashajouzulu ubalozi na kusema rais hafai akae kando anaogopa vigogo bado?Nia yake ni kusema ukweli but anaogopa kuwa offend vigogo. Remember ni former spy so bado yupo under oath.
Ana umma na kupuliza
Wapi nimesema mambo muhimu ya taifa yanaisha kwa siku moja ya maongezi?Kama mambo muhimu ya taifa yangekuwa yanaisha kwa siku moja ya maongezi, dunia yote ingekuwa imetatuliwa matatizo yake kwa haraka, ukweli ni kwamba, masuala ya haki, katiba, na mustakabali wa nchi yanahitaji mazungumzo ya mara kwa mara, ufafanuzi wa kina, na uvumilivu wa kuyajadili tena na tena , hizii si hadithi za ubuyu...
Hata Donald Trump, akiwa Rais wa Marekani, aliwahi kusema ataweza kumaliza vita vya dunia kwa siku moja tu akipewa nafasi, hadi leo, vita hivyo vinaendelea , hii inaonyesha kwamba masuala makubwa ya kisiasa na kimataifa hayawezi kumalizwa kwa maneno machache au siku moja, yanahitaji muda, mikakati, na mjadala wa mara kwa mara....
Another ad hominem logical fallacy.Kwaupande wa siasa za bongo we ni boya tu.
Pole pole kawajambisha wazee wako wewe kifaranga kaa kwa kutulia subiri matokeo.
Anachozungumza Polepole si mambo muhimu kwa taifa?Wapi nimesema mambo muhimu ya taifa yanaisha kwa siku moja ya maongezi?
aisee.. kweliUmekosea hapo
Yani hapo ndipo mwisho wa uelewa wako?Anachozungumza Polepole si mambo muhimu kwa taifa?
Kwani haya anayoongea sasa hivi watawala wanapenda?Huyu jamaa ipo siku atakuja kuongea vitu ambavyo watawala hawapendi wananchi wavijue
Maana kilasiku anakuja na jambo jipya.
Na wasiwasi na hawa watu wanaojifanya hua wanatabiri,serikali iwafuatilie kwa undani sana iwabananisheMost likely mpango wa kumuua Magu ulikuwepo.Polepole yuko sahihi.
Magu alijaribu kuthibiti lakini kuna kitu hakukigundua.Kama angekigundua angekuwa bado yuko hai mpaka leo.
Angeiangalia kwa jicho la kijasusi ile pattern ya viongozi wake kufa wakiwa wanafuatana pengine angeweza kugundua kulikuwa kuna kitu ambacho ni zaidi ya korona.
Hata uvumi uliokuwa unavuma kwamba Magu anaumwa,wahuni walisimama msikitini kudanganya umma kuwa Magu haumwi,yuko anachapa kazi.
Kama wangesema ukweli Magu alikuwa anaumwa na ni korona,Magu asingekufa.Niliweza kuwasaidia watu wengine tena wakiwa na comorbid conditions lakini hawakufa kwa korona mpaka leo wapo wanadunda,binafsi nisingeshindwa kumsaidia Magu asife kwa korona.
Siyo taxi driver wa kawaida uwe unaelewa, huyo taxi driver ni mwenzao ndo maana alikuwa anaongea na polepole.Polepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Hoja za kitoto hujazijibu mkuu? Huwa unakunywa pombe? Ok pombe ikiisha KICHWANI tutaendelea kwa SASA pumzika mkuu. Feel sorry kama NME kosa Mimi mkuu Asante kwa kunchallengeHivi mnaoleta hoja km hizi huwa mnatumia masaburi kufikiria?
Mbona hizi hoja ni zakitoto sana
Yatafahamika yote,Wabaya wa Taifa watajulikanaUkweli magurufuri aliuawa,,,na mipango ilihusisha usalama wataifa na wafanya baishara wakubwa akina taifa gas,,mkwele etc so nikweli anachosema polepole.Tusimpuuze...sbb angalia mfumo wa Vigo ukivyokuwa unakwenda,,alianza mkaba ambaye alikuwq kigingi