Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

Hakuna la ajabu hapo. Ht humu jf tuliambiwa Ngosha atakufa, the same ht ss hv twaambiwa Samia atauawa
 
Iendelee kunyesha tuone panapovuja
 
Kitengo kinatengeneza upinzani feki ndani ya CCM ili kudivert attention ya ya umma juu ya upinzani halisi wa nje ya CCM.

Kitengo kinajua umma unahitaji upinzani, ila kwa sababu kimeupiga pini upinzani halisi wa CHADEMA kinawapeni upinzani feki wa Polepole ili mhangaike nao.

Narudia tena, hakuna hero katika CCM ya leo anayeweza kuacha mpunga mrefu wa ubalozi kuja kupambana na Amir Jeshi mkuu eti kutetea taratibu za CCM. Hakuna
 
Una hoja nzito sana
 
Polepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?​
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa atafanyaje kama chadema wanaamini na wanafurahia na wanapata Imani kabisa kuwa kupitia 'stori ya kipumbavu' kama hiyo itamfikisha lissu ikulu?!!! Acha ajikusanyie viewers za mizembe hii kutoka chadema.
 
Polepole ameanza kuniprove wrong. Inshort NAANZA kumpuuzia anaweza kua Yuko wright ila ana ongeza chumvi. Alafu anapanga tukio kubwa unasubiri ila akifanya halifanyi kwa ukubwa ulio kusudiwa SIKU HIZI hata simfatilii



Kwishaaaa
Mkuu hata mimi leo nilivyoanza niliweka screen mbili mpja nanenane kwa Ssh moja kwa slow slow polepole.
Sijamaliza dakika 15 nikaenda piga mishemishe tu,

Yeye amwage mchele wote hata liwe press la masaa 12, wstu waamue sio hivi inamendea mendea kwamba wakinyoosha mambo hatosema. Huu ni utapeli


Kuna mdau mmoja leo kasema ni kama anafanya blackmailing , nakubaliana naye
 
Yeye +mpina kwani wameshafukuzwa uwanachama wa CCM?
 
Wabongo mnaitaji akili zenu zichaji kama wanaijeria ..mko lazy sana ..mnaboa...
Unafaham mchezo wa CHESS
Akili zichaji kwa hizi ngonjera za Polepole?
Ajikite kwenye hoja za msingi mara zote sababu atapuuzwa na kukosa hata hii audience inafuatilia kila baada ya siku tatu.
 
Nadharia njama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…