Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

Kwaio mkuu wameamua ku risk hata kuhusu jpm. .hata Zaid ku risk anayetajwa kuhusika? Kwamba Mimi niwe tayar kurisk image yang kutajwa kua nmehusika na KIFO Cha rais..? Ndicho unachokisema hapa
 
Polepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?​
Kuna siku ambayo destiny au sijui karma inataka iwaweke hadharani waovu, hiyo siku ikifika hata jasusi mbobevu hufanya kosa la kizembe sana la kuvujisha siri au kukamatwa.
Unajua yule kiongozi anayehusika na idara ya ulinzi na usalama awamu ya pili ya Trump ilikuwaje akamuunganisha mwanahabari kwenye kundi la wanausalama waliokuwa wanajadili jinsi ya kushambulia nchi fulani?
Alimpaje access ya kusikiliza classified Intel ktk classified meeting raia wa kawaida tena muandishi wa habari?
Au huijui hii habari?
 
Kwaio mkuu wameamua ku risk hata kuhusu jpm. .hata Zaid ku risk anayetajwa kuhusika? Kwamba Mimi niwe tayar kurisk image yang kutajwa kua nmehusika na KIFO Cha rais..? Ndicho unachokisema hapa
Sasa hayo ya JPM na Wanamitandao si wanajua ni stori zipo mitaani!. Hakuna jipya. They just give you what you want to hear na maisha yanaendelea.
 
Uzalendo WA polepole na mashaka kibao ETI ILI asiseme SAMIA asichukue fomu Ina MANISHA SAMIA asipo chukua FOMU ye hatosema lolote SA MPAKA HAPO kumbe inshu ni madaraka SI uzalendo. Kazidiwa na mange kimambi ye annyoisha maekezo na ushahidi JUU


Kwishaaaaa
 
Sasa hayo ya JPM na Wanamitandao si wanajua ni stori zipo mitaani!. Hakuna jipya. They just give you what you want to hear na maisha yanaendelea.
Mimi nimekuuliza swali, kua anayetajwa kuhusika na hata press za polepole zinamlenga yeye , na watu wameshajua codes zake na anatajwa kila mahali , je amekubali ku risk jina lake na reputation yake kitaifa na kimataifa iwe kwenye risk kubwa sababu ya plan wanayofanya kwa kumtumia polepole uliyosema kua wanafanya hivyo ku divert upinzani wa nje usionekane..kwaio jakaya kukubali haya yote arisk ?
 

Ndugu, kwani Mbowe si alikuwa anamnanga Samia kwenye Jukwaa la kisiasa, hujui kuwa naye alikuwa kwenye mission?.
Ujasusi ni kuuvaa uhusika, unaruhusiwa kujifanya uko against mtu fulani, ukaongea yote dhidi ya mtu huyo lakini unajua eventually end game ni kulinda mfumo. Wewe unaweza kudhani anamdamage mhusika lakini kwa taarifa yako mhusika hawi damaged na maneno ya Polepole kuliko kile ambacho mission ya Polepole inajaribu kukidivert
 
Bado.hujanijibu ...nauliza kua kwahio chama.kimekubali kimtumie jk kuchafua image na jina lake kwa haya yanayoendelea ili ku divert upinzani wa nje usionekane na jk kakubali?
 
Polepole ni mjinga tu. Anaokotezaokoteza maneno hata hayaeleweki.
Nimemskiliza kwa makini tangu mwanzo hadi sasa, anachoongea Pole2 ni kitu cha kawaida sana kwa mtu yoyote anaefuatilia siasa za bongo kwa ukaribu, anayotoa ni maoni yake tu kama mwanachama ambae hapendi nchi kuongozwa na mwanamke muislam wa kutoka zenji.

Hii ikimaanisha aliwaza by 2025 kutakuwa na safu ingine kwenye urais na labda alitarajia nafasi kubwa na bahati mbaya mambo yako tofauti nae yuko kwenye denial stage au basi ametumwa na genge lake.

Inaonesha udini unamsumbua sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…