Tatizo liko wapi? Mfa maji huyu hana lolote zaidi ya kubwabwaja. Hawa na Magufuli walijifanya miungu watu. Pumbavu kabisa.Miwatu kama nyie ndio mnasababisha viongozi wetu kuombewa mabaya na Wamachi!
Code hizo mzeePolepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Tulia dawa iingie, Bwashee. Yaani, kuna watu kwa sasa wakisikia tu jina la Polepole, mapaja yanatetemeka… hahaha!Kwa nini kipindi kile ameambiwa a kujitokeza kusema mapema wananchi tukajua
Siku Polepole atakapojitokeza na kuomba msamaha kupitia vyombo vya habari "kwa wote aliowasema vibaya" kama jinsi Musiba alivyojitokeza jana na kuomba msamaha kwa wote aliowakwaza miaka 7 iliyopita ndo utaelewa hizi gemu zinachezwaje!. Ujasusi ni game dirty yenye kutumia akili nyingi.Bado.hujanijibu ...nauliza kua kwahio chama.kimekubali kimtumie jk kuchafua image na jina lake kwa haya yanayoendelea ili ku divert upinzani wa nje usionekane na jk kakubali?
Tulia Bwashee unataka upate dozi yote kwa wakati mmoja ??Polepole ameanza kuniprove wrong. Inshort NAANZA kumpuuzia anaweza kua Yuko wright ila ana ongeza chumvi. Alafu anapanga tukio kubwa unasubiri ila akifanya halifanyi kwa ukubwa ulio kusudiwa SIKU HIZI hata simfatilii
Kwishaaaa
Yeye si amesema analindwa na Mungu?Si mpaka akili ya mtu iwe sharp ndo aelewe ulichoandika..
We kwa akili ya kawaida eti kulikuwa na list kwenye bahasha ya majina nalake likiwepo.
Halafu wakaweza kumuua Rais mwenye ulinzi mkali wakashindwa muua yeye mpaka leo yupo tu..
Na amefanikiwa kuwatoa watu kwenye reli wakishtuka uchaguzi huu hapa.
Utapeli wa kishamba kabisa huoLeo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo!
Anasema alipeleka ujumbe huo kwa muheshimiwa Rais, ambae pamoja na mengine alimwambia kuwa habari hizo akamwelezee msaidizi wake fulani ambae Ndugu Polepole hajamtaja.
Anasema pia palikuwepo dereva Taxi aliyekuwa akipewa bahasha na watu fulani aipeleke sehemu fulani. Siku moja dereva huyo alipewa bahasha ikiwa wazi/haijafungwa hivyo dereva alipata shauku ya kutaka kuona ni nini ambacho amekua akibebeshwa kwenye bahasha siku zote hizo. Ndipo alipofungua bahasha hiyo na kukuta list ya majina mengi ya watu/viongozi yakiwa yameandikwa kwa pamoja na codes zisizoeleweka, Anasema lilikuwemo jina la Rais wa awamu ya 5 na hata la kwake pia Polepole lilikuwepo!
Mwisho, Ndugu Polepole amemwambia muheshimiwa Rais wa sasa kuwa asiende kuchukua fomu kesho kwani kufanya hivyo itakuwa ni kuwatukana watanzania wote wanaoona mbali kuliko anavyoona yeye na hao waliomzunguka wanaomshinikiza kuchukua fomu na kuwania uRais.
Nimetafakari sana, wacha tuone!
Tulia dawa iingie, Bwashee. Yaani, kuna watu kwa sasa wakisikia tu jina la Polepole, mapaja yanatetemeka… hahaha!
Lakini ukweli ni kwamba muda ni mwalimu mzuri sana, na huu ndio wakati wake sahihi wa kuzungumza haya. Zaidi ya yote, anaeleweka kwa urahisi kuliko wakati wowote ule.
PointHata fundi saa anaweza kulipua ila bahasha kama hiyo inaweza kwenda bila kufungwa? Maajabu.
Ni kweli mkuu ILA SHIDA hatoi ushahidi, ulimfatilia mange kimambi na inshu ya MAbilioni ya yule poti na wenzake. Karatasi hii hapa unaiona kabisa na unasoma mkuu haya mambo ya mtu alichungulia stupid.sisi SIO watoto. ETI asichukue fomu khaaaa kumbe SHIDA ni madaraka na SI uzalendo kama alivo Nadi. Anampuuza mpina unajiuliza HIVI HUYU ccm wamemtuma kumdhoofisha mpina?Tulia Bwashee unataka upate dozi yote kwa wakati mmoja ??
Kesho Sania anachukua, sisimizi Polepole hana loloteMuache achukue hiyo fomu tujue ukweli. Je ni nani huyo aliyetajwa kama tax driver?? Je ni nani aliyekuwa akimtuma?? Je alikuwa akitumwa wapi?? Je ni kina nani na wana nguvu gani walio nyuma ya HP??
Rais ndo alikuwa halindwi na Mungu?Yeye si amesema analindwa na Mungu?
Mkuu HAPO ndo nmepingana na polepole alafu anamchafua mpina anamdhoofisha mpina KWANINI afanye hivo kama hataki ccm wachukue nchi?Kifo cha magufuli kina utata sana maana Mwishoni kwenye kampeni mwili wake ulikua umenyongonyea sana sasa sijui peace maker na mwili umenyongonyea vitu viwilli tofauti lakini Kwanini polepole alikua kimya mpaka mda huu wa Uchaguzi?
Rais alikuwa analindwa na bodigadi wake. Kuna wakati HP alisema yupo KIBAHA kwa Mathias!Rais ndo alikuwa halindwi na Mungu?
Kama analindwa na Mungu kwanini kaficha location?
Hili ni swali la Kipumbavu!!Kwa nini kipindi kile ameambiwa a kujitokeza kusema mapema wananchi tukajua
Sio kila dereva tax ni derava taxPolepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Hiyo ni lugha ya pucha tuliosoma Cuba tumeelewaIlikuaje bahasha muhimu na ya siri apewe dereva ikiwa ipo wazi au ni code