Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

Polepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?​
Dah nimecheka sana🤣, au itakuwa ni miaka ya tisini

Zama za leo kweli magari kama yote, si unarequest tu, na hata ukitaka kutuma mbona watumishi kibao wana magari binafsi

Hapa kwa kweli nimeona kichekesho 🤣🤣
 
Dah nimecheka sana🤣, au itakuwa ni miaka ya tisini

Zama za leo kweli magari kama yote, si unarequest tu, na hata ukitaka kutuma mbona watumishi kibao wana magari binafsi

Hapa kwa kweli nimeona kichekesho 🤣🤣
Ukisikia ushoga ndio huo, sasa hapo ni kipi kikuchekeshe mtoto wa kike?
 
Polepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?​
Haijafungwa kwa maana ya kuwa haina kufuli, mhuri wa moto, seal, ila inabebeka ndani ya mwili unaoweza kubadilishwa bila kubadilisha kilichomo ndani na aliyekabidhi na kupelekewa asitambue bahasha ile ilifunguliwa pasipo utaratibu na kutambulika kilichomo.

Bahasha yenye taarifa za siri inatofautiana (Classified Secret)
1. Siri inayopenyeka.....confidential
2. Siri katazo......Secret
3. Siri kitanzi.....Top secret

Siri Iliyofichwa
Hii inahusu taarifa ambazo serikali, shirika, au kampuni inaona kuwa nyeti na inahitaji kulindwa dhidi ya ufichuzi usioidhinishwa. Taarifa hii imegawanywa katika ngazi mbalimbali, ambapo "Siri" inawakilisha kiwango maalum cha uainishaji kinachoashiria kiwango kikubwa cha nyeti zaidi kuliko "Kufichwa" lakini kidogo kuliko "Siri Kuu". Ufafanuzi usioidhinishwa wa taarifa iliyofichwa kama Siri unaweza kutarajiwa kwa njia ya busara kuleta uharibifu mkubwa kwa usalama wa kitaifa.
Ufafanuzi wa kina zaidi:
Ngazi za Uainishaji:
• Kufichwa:
Ngazi ya chini zaidi ya uainishaji, ikionyesha taarifa ambayo inaweza kuleta uharibifu kwa usalama wa kitaifa ikiwa itafichuliwa.
• Siri:
Taarifa ambayo inaweza kusababisha uharibifu mkubwa kwa usalama wa kitaifa ikiwa itafichuliwa.
• Siri Kuu:
Ngazi ya juu zaidi ya uainishaji, ikionyesha taarifa ambayo inaweza kusababisha uharibifu wa kipekee kwa usalama wa kitaifa ikiwa itafichuliwa.
Madhumuni ya Uainishaji:
• Kulinda usalama wa kitaifa kwa kuzuia ufikiaji usioidhinishwa wa taarifa nyeti.
• Kulinda operesheni za kijeshi, shughuli za kijasusi, na kazi zingine za serikali.
• Kuepusha madhara kwa watu au makundi, uharibifu wa uhusiano wa kimataifa, na kuzuia juhudi za kutekeleza sheria.
 
Du hii hatari sana. Huyu jamaa atakuja kuongea.vitu hatari
 
Duuuh dúuh duuuh duuubh Wakuu kwanza mnisamehee, Leo nilikua bize na Pasuaji za kutosha.



kumbe Polepole anawajua waliomuua Magufuli ??.


Mambo hadharani Sio Siri Tena.

JWTZ inachukua Nchi .
Covid19 ndio mchawi wa uhai wa JPM, moyo ulikuwa mbovu ukakutana na tauni ya wakati ule.

Aliuletea ujuaji ugonjwa ule akiupiga vijembe hadharani, hilo likawa ni kosa kubwa.
 
Tatizo liko wapi? Mfa maji huyu hana lolote zaidi ya kubwabwaja. Hawa na Magufuli walijifanya miungu watu. Pumbavu kabisa.

Kama umekwama kimaisha usidhani kuwa maneno ya Polepole yatakukwamua. Fanya kazi au endelea kumsikia mpumbavu huyo
Anatetea tumbo lake na alishapata cheo akakejeli watu kwa kuwauliza unaijua vieite wewe?!.
 
Ni maamuzi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…