Polepole ni Mkwara mbuzi tu, anatishia nyau ila hana lolote

CCM huwa wana hofu sana ya kupitia minyukano...
 
Usiwe na akili kama za mtoto wa darasa la pili!!??
kwenye siasa watu hawapo static. Watu hubadilika eboo
Wenzenu wanatakatisha fedha nyinyi CHADEMA mnatakatisha wanasiasa waovu. Hata Makonda aliyemshambulia Tundu mwaka 2017 au Mafwele aliyeteka akina Deusdedith Soka akija CHADEMA mtampokea akimradi AIPONDE CCM
 
Mama yako aliekuzaa kule leba ndio pathetic looser kuzaa kijusi km wewe kisijitambua ni laana kwa ukoo
Njoo na hoja. Matusi ni ishara ya kuwa muflis wa akili.
 
Kama umoja wa kitaifa ni kuwafumbia macho wahuni wanaopora rasilimali za Tanganyika basi ujinga umeshinda vita!
Ni raslimali gani zinaporwa? Usianzishe hoja ambayo huna takwimu zake
 
Polepole anachokifanya ni anapanda mbegu
Katika mbegu kuna kuota au kutoota..
Sasa ikiota madhara yake ni makubwa baadae anatengeneza chuki ya ndani kwa kivuli cha kuwayengenezea uzalendo..

Unaweza dhani anapoteza muda ila ufahamu hakuna kitu kibaya kama hicho.
 
Bado unataka tujadili hoja ya sukari hapa?? Are you serious?? Maamuzi ya Bashe ya kutoa vibali ndiyo yame stabilise bei ya sukari kutoka Tsh 10,000 kwa kilo mwaka 2023 hadi Tsh 3,000 hadi sasa. Bashe ni mshindi kwa hili
 
Mnafki ni kibibi kilichokuwa kinajifanya kumuunga mkono Magufuli lakini sasa kimeuza nchi. Ni mpumbavu tu atakayesema Samia ni kiongozi anayestahili kuendelea...
Anaendelea sasa mpaka 2030. Jiwekee panadol za kutosha. Maumivu ya kichwa utayapata sana
 
Bado unataka tujadili hoja ya sukari hapa?? Are you serious?? Maamuzi ya Bashe ya kutoa vibali ndiyo yame stabilise bei ya sukari kutoka Tsh 10,000 kwa kilo mwaka 2023 hadi Tsh 3,000 hadi sasa. Bashe ni mshindi kwa hili
I am not talking about bei ya sukari, I am talking about how Bashe used the issuance of the sugar importation permits to corruptly make some loot!
Remember that the ccm financial enabler is Bashe’s godfather and hence he is behind all these dirty money making schemes!
 
Woga wa nini sasa
 
Wananchi wakijua kuwa watawala wao ni wahuni watazinduka na kuchukua appropriate action!

Bro kama sisi wananchi mkituambia kuhusu nani kazaa na nani. Nani mchepuko wa nani ndo tunazinduka, mtakuwa mnatudharau sana. Kifupi sisi ni bora kuliko hayo mauza uza
 
Ingekuwa kwa JPM hilo unalosema ni sahihi
 
Mtu Yuko nje ya nchi ,Anaongea vile,wewe hujui waliyoko nyuma yake ni wa aina gani,tunategemea misaada labda kwa waliyonyuma yake,uliona yaliyotokea Libya na kwengineko ,then unaona Hana jipya?

My dear friend,anaweza kuwa na jipya jema au baya zaidi ambalo kuli contain itachukuwa miaka mingi sana!! Ogopa mtu aliyejivika uasi!! Mwasi Hana Cha kujali.ni Bora ukapatana naye mapema .Polepole anaweza kuwa mpinzani mbaya sana ambaye Tanzania haijawahi shuhudi.Mwongope binadamu .afadhali ukutane na simba kuliko binadamu mwenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…