GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hiyo haiwezi kumuongelea polepole haki yake ya Kuhoji angalia joined alafu urudie maneno yako
Kwa hiyo unajiona wewe ndiyo una akili? Ulikuwa wapi 2016-21 wakati Polepole ananunua wabunge wa CDM?? Nisijekuwa nabishana na kitoto cha 2000
 
Polepole kawabeep wameanza kumpigia jibuni hoja msijadili personality
 
DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
Ili kampuni ipate entrance katika taifa Fulani, wanaotangulia ni brokers kwanza wanakuja kufanya lobbying na brokers wandani na kuona ni namna Gani mambo yataenda ivo walio seal ilo deal ni brokers tu na Government inakuja kufanya formality baada ya kuwa briefed na brokers wandani
 
Jibu swali acha blah blah
Ushawai kutumia bandar kabla na baada ya Dp ?
Mkataba uuone WW kama nani? We ni mwananchi kazi yako ni kupiga kura na kufanya kazi bhc mengine aachia serikal ifanye kazi .
Pumbav hata kutumia bandar ujawai alaf unajidai hutak data za kupikwa
Hio hojà kabishane kwenye kahawa

 
Unaongea nini wewe Magufuli, alikuwa mbunge zaidi ya miaka 20 wa kuchaguliwa na wananchi kupitia CCM huu mfano wako hata haufanani.
Hawa wapinga serikali hayana hojà Zaid ya kubwabwaja tuh
Ndio maana boss wao Yuko lupango kwa makosa hayo hayo ya kuropoka
 
Huyo ni wewe na haki yako
 
DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
Kujua utaratibu ni lazima uwe kiongozi kwa miaka mingap?
 
Mtandao umeanza kujibu mapigo ya Slow slow
 
Dangote broker alikua nani?
Wewe pengine hujui hizo mambo zinaenda vipi mpaka mtu anapata hio entrance, Dangote alikuja kipindi cha Chuma ambapo tayari investors wengi walikuwa na room ya kumuona direct Mkuu wa nchi, mana Uwekazaji wao ulikuwa analysed na Regulatory kabla ya approval, Je ulisikia kelele za entrance kwa wananchi kwa Dangote kama ilivo kwa DP word na Investors wa ngorongoro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…