Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Nape hajawahi kufanya manunuzi, Polepole hawezi kazi ni mtoa rushwa mkubwaPolepole ni zaidi ya Nape bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nape hajawahi kufanya manunuzi, Polepole hawezi kazi ni mtoa rushwa mkubwaPolepole ni zaidi ya Nape bwashee!
Kawacharaza au kacharazwa?. Mbeligiji yule, kibaraka atafanya nini yeye na Bwana zake mabeberu.Tundu Lissu kawachakaza jukwaani, hadi wanaomba msaada NEC iwasaiadie
Tume hii ilokalia rufaa za wagombea wa upinzani???Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lisu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.
Chanzo: TBC
My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.
Maendeleo hayana vyama!
Haha. Hebu tupe definition ya beberu basi. Maana tukiwauliza hamuwezi hatankutoa operational definitionKawacharaza au kacharazwa?. Mbeligiji yule, kibaraka atafanya nini yeye na Bwana zake mabeberu.
Polepole ni tatizo nchi hii. Watu hawalioni hili lakini ni kiumbe hatari sana. Kwanini anamtishia Lissu? Kwanini anataka kuishurutisha tume 'huru' itende kama anavyotaka yeye Polepole? Huyu atasababisha watu wachukue sheria mkononi dhidi yake au dhidi ya Mahera.
Huyu ni mtu aliyechangia sana kumdanganya rais wakati wa kampeni ya nunuanunua ya wapinzani akimuaminisha mwenyekiti wake kwamba upinzani umekufa. Kumbe alimuonyesha maiti tofauti. Asijibaraguze, atulie ale makofi kutoka kwa mwenyekiti wake na kujibu maswali yake kwa ufasaha.
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lisu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.
Chanzo: TBC
My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.
Maendeleo hayana vyama!
Ole wake kwani yy ndo alomwita? Huyu kakonda mpaka ubongo?Ole wake!
Nayesaidiwa na NEC ndio amechakazwa [emoji1][emoji1][emoji1]Kawacharaza au kacharazwa?. Mbeligiji yule, kibaraka atafanya nini yeye na Bwana zake mabeberu.
Polepole siku hizi ni msemaji wa tume?
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.
Chanzo: TBC
My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.
Maendeleo hayana vyama!