Uchaguzi 2020 Polepole: Tunataka kuona NEC ikitenda haki, ole wake Tundu Lissu asipoitikia wito wa Tume!

Uchaguzi 2020 Polepole: Tunataka kuona NEC ikitenda haki, ole wake Tundu Lissu asipoitikia wito wa Tume!

Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lisu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Tume hii ilokalia rufaa za wagombea wa upinzani???
 
Kawacharaza au kacharazwa?. Mbeligiji yule, kibaraka atafanya nini yeye na Bwana zake mabeberu.
Haha. Hebu tupe definition ya beberu basi. Maana tukiwauliza hamuwezi hatankutoa operational definition
 
Polepole ni tatizo nchi hii. Watu hawalioni hili lakini ni kiumbe hatari sana. Kwanini anamtishia Lissu? Kwanini anataka kuishurutisha tume 'huru' itende kama anavyotaka yeye Polepole? Huyu atasababisha watu wachukue sheria mkononi dhidi yake au dhidi ya Mahera.

Huyu ni mtu aliyechangia sana kumdanganya rais wakati wa kampeni ya nunuanunua ya wapinzani akimuaminisha mwenyekiti wake kwamba upinzani umekufa. Kumbe alimuonyesha maiti tofauti.

Asijibaraguze, atulie ale makofi kutoka kwa mwenyekiti wake na kujibu maswali yake kwa ufasaha.
 
Polepole ni tatizo nchi hii. Watu hawalioni hili lakini ni kiumbe hatari sana. Kwanini anamtishia Lissu? Kwanini anataka kuishurutisha tume 'huru' itende kama anavyotaka yeye Polepole? Huyu atasababisha watu wachukue sheria mkononi dhidi yake au dhidi ya Mahera.
Huyu ni mtu aliyechangia sana kumdanganya rais wakati wa kampeni ya nunuanunua ya wapinzani akimuaminisha mwenyekiti wake kwamba upinzani umekufa. Kumbe alimuonyesha maiti tofauti. Asijibaraguze, atulie ale makofi kutoka kwa mwenyekiti wake na kujibu maswali yake kwa ufasaha.

Upinzani umekufa kilichobaki ni show na kula pesa za Wabelgiji, Hamna kitu Upinzani. Mkusanyiko wa wafuasi wanaoelekezwa na kilaza kitu cha kufanya.
 
Tukubali tu Tundu Lisu anapaswa kupewa heshima kubwa na kurejesha amani katika Taifa hili.
Watu wanafurahia Siasa za Upinzani.

CCM walipanga njama Mbaya sana wakisaidiwa na Polepole na Bashiru kwa kuandaa magenge ya watu waovu wasiomuogopa Mungu zaidi ya Mwenyekiti wao na Mkubwa wa Nchi.

Walijipanga kupita mitaani na kuwapiga na kuwajeruhi wapinzani wote na kuwatisha wasitokee kwenye mikutano ya wapinzani ili ionekane kuwa Tanzania hakuna upinzani wameufuta.

Walikua wamejipanga kushusha bendera zote za Chadema kila mahali na kuzichoma moto ili kuwatisha watu wasijitokeze kuonyesha Mapenzi yao kwa upinzani.

Kama Sio Tundu Lisu kurudi na kusimama imara kutetea haki kwenye Uchaguzi huu ni ukweli kabisa hata wanaotoa michango yao kuchangia uchaguzi wangeviziwa na kuteowa na makada wapuuzi wa CCM wanaotumiwa na Polepole na vijana maslahi wa CCM.

Ujasiri aliouonyesha Tundu Lisu umeweka ujasiri pia kwa wanachama na mashabiki wa Vyama vya upinzani.

Hakika bila Lisu uchaguzi wa mwaka huu ulikua ni uhalifu mkubwa mana CCM walijipanga kuufuta upinzania usifurukute kwa namna yoyote ya kiovu na kifidi.

Tume imejaribu sana kuuhujumu upinzani ili kulinda maslahi na pesa wanazopata toka kwa Mafisadi na wezi wanataka kupita bila kupingwa kwa Rushwa.

Tuwakatae wabunge na madiwani wa CCM wanaopitishwa kwa Rushwa na dhulma . Hatuwezi kuwekewa sheria za haki na watu waovu.
CCM ni genge la wahalifu wanaotumia silaha za dola kuhujumu mali na fedha za umma ndio maana walijianga kuvuruga uchaguzi ili washinde kwa 90+ . Hata hivyo Lisu amebadili upepo kwa Nguvu za Mungu aliyemponya na sasa hali imegeuka kuwa hofu kuu kwao.
Naamini CCM ikishinda tena nchi itakua na hali mbaya zaidi.

Tutakopa China na kupandishiwa kodi mpaka tunyooke. Hatutamkoa Lisu bali tutajikomoa wenyewe na kuwanufaisha viongozi wa CCM wanaolipwa maslahi makubwa tofauti na Wafanyakazi wengine wanavuja jasho na damu kwa uzalendo wao wa kufanya kazi kwa mishahara midogo huku wtawala wakiwalejeli na kuwatisha ili wasidai nyongeza ya mishahara ili wakidhi mahitaji yao.
 
Kadri muda unavyokwenda ccm na tume wanazidi kuonesha undugu wao wa damu.

Naona mahera anafanya kazi za polepole, polepole anafanya kazi za mahera.
 
Huyu Polepole amekuwa katibu uenezi na propaganda wa Tume tangu lini? Njaa inamdhalilisha. Kuna watu tunalima matikiti na hatuna haja ya kujikomba ili mkono uende kinywani. Aje ajiunge nasi kuliko kujidhalilisha hivi. Yeye mwenyewe alikiri kwa kinywa chake kuwa Tume ikiwa huru CCM inakabidhi Ikulu alfajiri.Wakabidi Ikulu 29 Oktoba 2020 na waondoke kwa amani. Waheshimu matakwa ya Watanzania. Wameengua wagombea wengi wa upinzani lakini bado hawajiamini! Wanajua siku nyani anakufa, miti yote uteleza.
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lisu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
 
Tume ikitenda haki,sikilizeni Mkurugenzi wa Ccm akimwaga madini[emoji16][emoji16]


Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kawacharaza au kacharazwa?. Mbeligiji yule, kibaraka atafanya nini yeye na Bwana zake mabeberu.
Nayesaidiwa na NEC ndio amechakazwa [emoji1][emoji1][emoji1]
FB_IMG_16010321880150025.jpg
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!

Kwamba apigwe bun siku saba au sio
 
Kwahio huyu pia ni msemaji wa TUME au hio Ole Wake ameitoa yeye kama nani?

Tatizo hii nchi kuna baadhi wanadhani wao ndio wana-utanzania kuliko wengine..., yaani wao ndio nchi ya kwao sisi wengine wote ni wahamiaji au watu wa kupita tu...
 
Tundu ni mchochezi anataka kusema kwamba anaonewa kumbe yeye ndo mchonganishi anasema vitu ambavyo havipo
 
Back
Top Bottom