Uchaguzi 2020 Polepole: Tunataka kuona NEC ikitenda haki, ole wake Tundu Lissu asipoitikia wito wa Tume!

Uchaguzi 2020 Polepole: Tunataka kuona NEC ikitenda haki, ole wake Tundu Lissu asipoitikia wito wa Tume!

Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Polepole mpuuzi apuuzwe, bwana mbona anaongea kisukuma katika kampeni
 
Unafahamu maana ya nguvu ya umma?! Unadhani hao kwenye mikutano ya Lissu wenu ndiyo nguvu ya umma?! Unadhani kumuua Mlelwa ndiyo nguvu ya umma? Unadhani kushinda mitandaoni kuandika hili la like dhidi ya JPM ndiyo nguvu ya umma? Hujui nguvu ya umma wewe....fanyeni fujo after October 28th ndipo muone nguvu ya umma...
Mbona vitisho,kuwa mpole na tueleze tukuelewe.
 
Mbona vitisho,kuwa mpole na tueleze tukuelewe.
Ndugu yangu hakuna vitisho hapa...ila ni wazi hujui maana ya nguvu ya umma...no sawa na Lissu asiyejua maana ya ukoloni mambo leo na ubeberu...neocolonialism and imperialists...hajui maana yake..
Anawaita imperialists kuwa ni washirika wa maendeleo na siyo imperialists...anawapinga wasomi wote walioandika kuwa ni kupitia mfumo wa kibiashara na maendeleo ndipo imperialism inapojikita...Lissu anasema no no no hao sio imperialists sio mabeberu na ataweka rehani madini ili imperialism ijikite zaidi...duh...
 
Katika Mambo haya,ndipo tunapowajua wazalendo maslahi,na wazalendo halisi kumbuka maslahi ya chama yanaweza yasiwe maslahi ya taifa Ila maslahi ya wachache.
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Pole pole ndiyo boss wa NEC?
 
Huyu mwenye sura ya mama yake kazi yake kuropoka tu,kama amepigwa la kati
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Huyu slow slow naye naona ARVs zimeanza kumlewesha
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Polepole yeye ni nani hadi aiamlishe tume
 
This guy has some kind of syndrome !!!!!! Polepole hayuko sawa. Hawa ni wa kunyonga kutumia sheria zao walizotunga na jela walizoboresha. Kuwapeleka The HAGUE ni kuwapa gandhi wasiyokuwa nayo

When their time comes, they should all be arrested, and tried here. Majangili yote wakina slow slow, Judge mstaafu na wahuni wa Time ya uchaguzi
Kabisa yan...... Haya mashetani maccm na chama chao cha kigaidi yanakera sn
 
JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk
Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Mwambie Polepole Chakubanga ajiangalia sana kwa hali anayoenda nayo ataanza kuokota makopo muda si mrefu .
Screenshot_20200928-221139.png
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!

NEC kufanya kazi yake ni wajibu, lakini Polepole siyo mtu wa kumwambia Lisu au mgombea yeyote kuwa atakiona asipoitikia, kwa sababu polepole siyo mtumishi wa Nec na hawezi kumtishia anayehitajika na tume kuwa asipokuja atakiona. Hivi huyo Polepole anajuwa mipaka yake inaishia kwa wanachama wa CCM na serkalini au kwa Watanzania wengine, yeye ni kutunguu kama vitunguu wengine?
 
CCM waulize KANU Walitumia Njia Gani Kukubali Maumivu ya Kushindwa?

Kufananisha CCM na KANU ni sawa na kufananisha Jua na nyota ! Jiridhishe na historia ambayo haifanani sana kwa kuwa chama cha mapinduzi ni chama cha ukombozi Afrika na kulinda mapinduzi !
 
Polepole alipata unyafuzi katika hatua za ukuaji wake. Ndio maana unaona hali yake ilivyo. Unyafuzi hushambulia ubongo. Ni wa kumhurumia.
Jina la ukoo wake umeathiri ukuaji wauelevu wake. Polepole tuliyemfahamu kwenye tume ya katiba siye huyu, inawezekana kwenye ziara za wachina CCM walibadilishiwa wakachomekewa Polepole feki.
 
Mkuu ni niko central police mkoa fulani muda huu, wanasema mwacheli Lissu atutetee, tumeteseka sana

JPM amefanya mambo makubwa sana na kunyamazisha wapinzani ili yasiyofanyika yasisemwe na makosa yasionekane.
JK alifanya makubwa zaidi lakini hakuwanyamazisha wapinzani wake .
Hata Watu binafsi wengi walijipatia maendeleo yao kipindi cha JK.
Kama JK asingeyaendeleza majeshi na Wafanyakazi hasa kadaktari leo hii PM asingekuta Majeshi yatu yakiwa imara kama yaluvyo. JK aliboresha miundo mbinu ya majeshi yetu na maslahi yao. Alinunua Manowari, Alinunua ndege za kivita kulinda nchi yetu ,alinunua vifaru vingi, Aliwapa Mali asili silaha za kisasa kulinda wanyama wetu n.k. Mfano ni nyumba za kisasa za askari wetu alizojitahidi JK kuwajengea tofauti na JPM ambaye hajawajengea wanajeshi wetu hata nyumba za mabati kama wakati wa mkoloni. JK alijenga kambi za JWTZ nchi nzama lakini hakuwa anaweka mabango na matangazo ya kuzindua na kuhishia vyombo vyote vya habari kumsifia . Alijua ni wajibu wake kutumia Kodi za wananchi na mikopo ya nchi kujenga miundo mbinu ya serikali. JK alijenga sekondari za kata nchi nzima lakini hakuzifunga shule binafsi wala kuzifanya figisu.JK alijenga vyuo vikuu lakini hakufunga vyuo binafs. Vifaa vyote wanavyotumia majeshi yetu yote ni vile vile vya enzi za JK.
JK alojenga Hospitali kubwa Kama Mloganzira ,Jakaya na Dodoma lakini hakuchukua vyombo vyote vya habari kwenda kumsujudia ,kusifu,na kuchukua wachungaji kumweka kwenye ratiba za ibada kama Mungu.
Nchi hii inavurugwa na watu wabinafsi wanaotumia ukubwa wa CCM kufanya wanayotaka wakijua hawatafanywa lolote kama alivyosema Kheri yule wa UVCCM.Yani watu kama Kada wa CCM na Mwenyekiti wa NEC wanajawa na kiburi cha kufanya Chochote wanachoona kitawapa maslahi yao binafsi na kulinda vyeo vyao. Mungu haogopwi tena zaidi ya mtu aliyewateua. Hata vyombo vya dola,mahakama, bunge wote hawamuogopi tena Mungu zaidi ya mtu mmoja aliyewateua na kuwapa mishahara mikubwa. Wakuu wa wilaya ,wakurugenzi, wakuu wa mikoa,mawaziri, hawaheshimu katiba wala hawamuogopi Mungu zaidi ya mtu mmoja aliyewateua.

Kwa katiba hii CCM ikirudi madarakani itawaumiza watu wengi sana mana wamegundua kuwa watu wengi hawawapendi. CCM itatumia nguvu kubwa maradufu kuhakikisha lengo lao la kuua upinzani linatimia.
Kama kuna Mtu yeyote anayedhani kuwa CCM ikiua watu wote wasioiunga mkono watapata maendeleo ya madaraja watajidanganya. Maendeleo bila watu. CCM na tume ya uchaguzi wakiwaua maelfu ya watu wajue watanzanua wote ni ndugu.
Ndio maana polepole anatengeneza magenge ya watu wasiojulikana .Polepole na NEC wanapochafua hali ya hewa wanawachia mzigo mkubwa vyombo vya usalama.

Historia ya nchi hii tangu mkoloni kuna makabila makubwa yaliyokuwa yanapewa nafasi za kati za utawala lakini sio nafasi za juu kabisa. Ukimpa mtu nafasi ya juu kwenye makabila hayo yenya nguvu kubwa ,kielimu,kiuchumi,kisiasa na hata wingi wao kijamii basi watatumua nguvu kubwa sana kuyanyamazisha makabila madogo madogo wakiwa na matumaini ya kutumia ukubwa wao kuteka afasi zote za madaraka ,uchumi, ajira n.k. Haikuwa jambo la kubahatisha kuona uoanda mmoja unapewa madaraka ya juu yote mpaka TUME ya uchaguzi. Ni mwanzo tu. Wakifanikiwa kuua upinzani watawaengua wa makabila menginene kwenye ukanda huo na hatimaye watawaengua mpaka wabaki wa ukoo mmoja tuu. Ndio maana wenye akili kwenye ukanda ule wanaikataa CCN wakijua kuwa hii ya kujifanyia Kikanda ni danganya toto kwa watu wachache wenye uchu wa madaraka. Uchu huo wa madaraka upo mpaka ndani ya vyombo vya dola. Kuepuka mgawanyo wa Kikabila ulioanzishwa na Bashiru Alli na Polepole wakisaudiwa na NEC ni kuwakataa CCM nchi nzima. Malengo yao maovu yatashindwa.
Mungu aliyeimarisha Uchumi wa Misri ndiye huyohuyo aliyeishusha na kumwangamiza Firauni.
Mungu aliyeiondoa Korona ndiye huyohuyo aliyemponya Lisu na kumpa ujasiri wa kutetea Taifa lenye Haki na usawa kwa binadam sio kuumiza watu kwa sababu ya kujenga minara ya Babeli.
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani barua ameshapelekewa na kada?

Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom