johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Katibu wa uenezi wa CCM mh Polepole katika kusheherekea siku ya wanawake duniani amesema wanawake wana akili kuliko wanaume tena wana uwezo kuliko wanaume.
Polepole amesema kwa mujibu wa Biblia ya kiyunani mwanamke hakuumbwa kama msaidizi wa mwanamme bali aliumbwa ili kumsaidia mwanamme na mara zote mtu " anayesaidia" anakuwa na uwezo zaidi. Kuna tofauti kubwa kati ya msaidizi na anayesaidia, amesema.
Polepole amesema hata yeye wasaidizi wake wote ni wanawake kama kanali Muammar Ghadafi.
Mwisho Polepole amempongeza mama Samia Suluhu ambaye ni makamu wa Rais kwa kazi kubwa anayoifanya.
Maendeleo hayana vyama!