Polepole: Wanawake wana akili kuliko wanaume, Wanawake wana uwezo zaidi ya wanaume hata wasaidizi wangu wote ni wanawake

Polepole: Wanawake wana akili kuliko wanaume, Wanawake wana uwezo zaidi ya wanaume hata wasaidizi wangu wote ni wanawake

Nimekuelewa bwashee!
Sawa bwashee, personally I love women for real. Lakini any attempt that tries to move them from their original positions is by all means an attempt to provoke enermity between men and women just like what Mr. Polepole is trying to do.

Leo hii wanawake wengi na hata ndoa zinayumba simply kwa sababu wanawake wanalazimisha kuwa wanaume, wanataka watoe miongozo ifatwe na wanaume na si kinyume chake. It's against nature and even against God's will.

Wanawake eeeh.... me binafsi nawaheshimu sana na mtaheshimika mkikaa kwenye nafasi iwapasayo na si kwenye hivi viatu mnavyo lazimisha huku vikiwavuka na havita watosha milele.

Polepole is simply a deceiver, hana nia njema zaidi ya kuwahadaa, yafaa kumpuuza tu!!
 
Sahv hata maji hamta tupa [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona huu usawa mnautaka kwa nguvu sasa

Ova
😂😂😂😂😂😂
Mimi sitaki usawa kabisaaaaa. Kwanza mimi mwanamke kamwe siwezi kuwa sawa na mwanaume
Sasa ya nini kungangania mambo nisiyoyaweza halafu nishindwe kudeka🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo mwanamke ana akili kiasi kwamba akiongea yeye hata alichoagiza Mungu kinawekwa kando[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimekuelewa gspain, asante
No, si kwamba anaeleweka zaidi ya Mungu bali ukisoma chapter 2 ya Genesis utaona vile Mungu aliona umuhimu wa kumletea msaidizi Adam naye akampokea kwa 'bashasha' (bone of my bones, flesh of my flesh).

Katika mazingira ya kawaida Adam aliamini yeye na Eve wako in one accord. Ukisoma vizuri pia utagundua from chapter 3:1 of Genesis, just after Eve was formed (chapter 2)... nyoka anafika kumshawishi.

Na huo ulikuwa ushauri wa kwanza Adam anapokea toka kwa Eve ( msaidizi) wake, so it's fair kusema kwamba Adam hakuwa na any bad track record ya Eve before. Tena akiwa from God's formation, Adam had all the guts to trust her.

Kimsingi imani ya Adam kwa Eve ilitokana na imani yake kwa Mungu aliyemfanya Eve toka kwenye ubavu wake na si kwamba Eve was clever than him whatsoever.
 
Joni kama mdau muhimu tunaomba utusaidie kuwafahamu wasaidizi wa mwenezi wetu kwa nia njema,jamii ifahamu anavyo wathamini Wanawake (Mama zetu )
 
Polepole hebu twende polepole

"Msaidizi na anaye saidia ni tofauti"
"Wasaidizi wake ni wanawake"
Full contradiction






Implication yake ni nini? Mama Samia ana akili kuliko kiongozi mkuu?
I think the man even contradicts himself.
 
Katibu wa uenezi wa CCM mh Polepole katika kusheherekea siku ya wanawake duniani amesema wanawake wana akili kuliko wanaume tena wana uwezo kuliko wanaume.

Polepole amesema kwa mujibu wa Biblia ya kiyunani mwanamke hakuumbwa kama msaidizi wa mwanamme bali aliumbwa ili kumsaidia mwanamme na mara zote mtu " anayesaidia" anakuwa na uwezo zaidi. Kuna tofauti kubwa kati ya msaidizi na anayesaidia, amesema.

Polepole amesema hata yeye wasaidizi wake wote ni wanawake kama kanali Muammar Ghadafi.

Mwisho Polepole amempongeza mama Samia Suluhu ambaye ni makamu wa Rais kwa kazi kubwa anayoifanya.

Maendeleo hayana vyama!
Slow slow anapenda alipotokea sana ndio maana wasaidizi wake ni wanawake,namshauri aendelee kupiga tizi,kula vizuri na azingatie ushauri wa wataalam.
 
Kuongea wakati mwingine kunaendana na mazingira,hivyo mengine tuyaone kama yalivyojiri.
Ni kweli mkuu, ila kwa kuwa ameihusisha bible na bible yenyewe inasema (proverb 26:5) mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, asije akajiona mwenye hekima machoni pake.
 
Polepole hebu twende polepole

"Msaidizi na anaye saidia ni tofauti"
"Wasaidizi wake ni wanawake"
Full contradiction






Implication yake ni nini? Mama Samia ana akili kuliko kiongozi mkuu?
Kuna kitu hapa hakipo sawa
 
Ni utashi wake tu. Mwanamke anatakiwa aongozwe ndipo aende. Hata kwenye hili inaingizwa siasa, alicho sema happy amegeuza kitendo kuwa jina hajabadili maana bado, sawa na kusema muoshaji maiti na anaeosha mwili mfu.
 
Back
Top Bottom