Ukisoma biblia hapa utaona kabla ya kuumbwa mwanamke, alijaribu kutazamwa wa kumsaidia Adam kutoka kwa wanyama lakini hakupatikana wa kufanana naye, in other words a woman is an improved version of the cattle [emoji116][emoji116] [21]And the LORD God caused a deep sleep to fall upon Adam, and he slept: and he took one of his ribs, and closed up the flesh instead thereof;
BWANA Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
[22]And the rib, which the LORD God had taken from man, made he a woman, and brought her unto the man.
na ule ubavu alioutwaa katika Adamu BWANA Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
Then uje useme huyo msaidizi ni bora kuliko na ana akili kuliko 'boss' wake.
Bwashee, mwambie Polepole, biblia sio manifesto ya CCM.