Polepole: Wanawake wana akili kuliko wanaume, Wanawake wana uwezo zaidi ya wanaume hata wasaidizi wangu wote ni wanawake

Polepole: Wanawake wana akili kuliko wanaume, Wanawake wana uwezo zaidi ya wanaume hata wasaidizi wangu wote ni wanawake

Kwa maana hiyo Zuchu ana akili kuliko Magufuli?
 
Nakubaliana nae kwa kua siku hizi wanaume wamekua wambea kuliko hata wanawake.
 
Mhu! Ndivyo text inavyosema au ndivyo anavyotaka text iseme?
U- Turn DADEKI.. na siasa zetu zilizokosa viwango.😃😄
Polepole anatishwa na Mwanasesere wake mwenyewe aliemchonga😄😃

Nawakumbusha Sukuma Gang, Mataga na wajane wote kuwa legacy ya Mwendawazimu inajadiliwa Makunduchi na Msoga inaonekana ni ya hovyo na hatari kwa uhai wa CCM, achaneni nayo 😄😀
 
Bwashee upo viunga vya mahakama?
 
Katibu wa uenezi wa CCM mh Polepole katika kusheherekea siku ya wanawake duniani amesema wanawake wana akili kuliko wanaume tena wana uwezo kuliko wanaume.

Polepole amesema kwa mujibu wa Biblia ya kiyunani mwanamke hakuumbwa kama msaidizi wa mwanamme bali aliumbwa ili kumsaidia mwanamme na mara zote mtu " anayesaidia" anakuwa na uwezo zaidi. Kuna tofauti kubwa kati ya msaidizi na anayesaidia, amesema.

Polepole amesema hata yeye wasaidizi wake wote ni wanawake kama kanali Muammar Ghadafi.

Mwisho Polepole amempongeza mama Samia Suluhu ambaye ni makamu wa Rais kwa kazi kubwa anayoifanya.

Maendeleo hayana vyama!
basi ajiandae kupinduliwa kama hana akili na wanawake wanamzidi akili
 
Back
Top Bottom