johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Au Halima James Mdee awe mwenyekiti wa CHADEMA!Si angewapisha yeye akawa msaidizi wao?
Au angemshauri bwana yule akampisha Chamia?
Au Halima James Mdee awe mwenyekiti wa Chadema!
una tofauti kubwa kati ya msaidizi na anayesaidia, amesema.
Polepole amesema hata yeye wasaidizi wake wote ni wanawake
Mwisho Polepole amempongeza mama Samia Suluhu ambaye ni makamu wa Rais kwa kazi kubwa anayoifanya.
amesema wanawake wana akili kuliko wanaume tena wana uwezo kuliko wanaume.
na mara zote mtu " anayesaidia" anakuwa na uwezo zaidi
Mchg Msigwa alishawahi kumtuhumu juu ya mwenendo wake na hao wanawakeSasa si awapishe hao wasaidizi wake.., ila kwa trend ya huyu jamaa kipindi hiki kweli IQ yake inatia mashaka.... Anahitaji msaada wa kila aina (awaambie hao wasaidizi wamsaidie vya kuongea)
Katibu wa uenezi wa CCM mh Polepole katika kusheherekea siku ya wanawake duniani amesema wanawake wana akili kuliko wanaume tena wana uwezo kuliko wanaume.
Mwisho Polepole amempongeza mama Samia Suluhu ambaye ni makamu wa Rais kwa kazi kubwa anayoifanya
Power ndiyo huwafanya waseme lolote. Akili humwongoza mtu la kusema.Sasa si awapishe hao wasaidizi wake.., ila kwa trend ya huyu jamaa kipindi hiki kweli IQ yake inatia mashaka.... Anahitaji msaada wa kila aina (awaambie hao wasaidizi wamsaidie vya kuongea)
Wewe umeshiba?(bila kudharau chochote juu ya wanawake) polepole mpuuzi mmoja tu na yupo hapo alipo kwa sababu ya njaa.