Polepole: Wanawake wana akili kuliko wanaume, Wanawake wana uwezo zaidi ya wanaume hata wasaidizi wangu wote ni wanawake

Kwa maana hiyo Zuchu ana akili kuliko Magufuli?
 
Nakubaliana nae kwa kua siku hizi wanaume wamekua wambea kuliko hata wanawake.
 
Mhu! Ndivyo text inavyosema au ndivyo anavyotaka text iseme?
U- Turn DADEKI.. na siasa zetu zilizokosa viwango.๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„
Polepole anatishwa na Mwanasesere wake mwenyewe aliemchonga๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ƒ

Nawakumbusha Sukuma Gang, Mataga na wajane wote kuwa legacy ya Mwendawazimu inajadiliwa Makunduchi na Msoga inaonekana ni ya hovyo na hatari kwa uhai wa CCM, achaneni nayo ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜€
 
Bwashee upo viunga vya mahakama?
 
basi ajiandae kupinduliwa kama hana akili na wanawake wanamzidi akili
 
Msaidizi wa Polepole
 

Attachments

  • VID-20220320-WA0006.mp4
    8.8 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ