Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Ndio hicho Polepole anachosema. Kwamba kama anagombea katika awamu mpya ya 6, anapaswa kupitia mchakato rasmi wa awamu mpya ya uraisi, pamoja na wagombea wengine, wakianza na majina ya watia nia hata 20 na kuchuja hadi wapate majina matano, kisha matatu kisha mojaTafsiri
Awamu ni kweli siyo ya 6 ni ya 5
Ila Katiba ya JMT inampa fursa Dr Samia kugombea sasa na atakaa kwa miaka 5 tu na Kwahiyo awamu ya 6 itakuwa ya miaka 5 kisha itakuja awamu ya 7
Kule Zanzibar awamu ya Idrisa ilikuwa ni miaka 5 tu
Ahsanteni sana
Rais mtetezi atapitiaje mchakato wa kawaida?Ndio hicho Polepole anachosema. Kwamba kama anagombea katika awamu mpya ya 6, anapaswa kupitia mchakato rasmi wa awamu mpya ya uraisi, pamoja na wagombea wengine, wakianza na majina ya watia nia hata 20 na kuchuja hadi wapate majina matano, kisha matatu kisha moja
Samia anajua hili na alijua sio rahisi kupita kwenye mchakato kama huo, na kwa ushauri wa JMK wakaamua kuchukua short cut. Tunajua JMK anamsaidia akitarajia favors toka kwake, kitu ambacho Polepole anajua kinaelekea wapi
Sheria ipi?na sheria hairuhusu makamu wa Rais kugombea uRais
alipata?Sheria ipi?
Mbona Dr Bilal aligombea?
Kukusaidia tu ingawa unahisi unajua, kila kipindi cha Uchaguzi Mkuu kina Ilani yake. Yaani Ilani ya 2020/2025 ni tofauti na ya 2025/2030!Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi.
Ni vema CCM wakubali kwamba makosa makubwa yamefanyika na watumie nafasi hii kukubali tuahirishe uchaguzi, ambapo pia itakuwa ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja; kurekebisha kanuni za uchaguzi kama walivyopendekeza Chadema, na pia kurekebisha utoporo waliofanya CCM katika suala la mgombea wa uraisi toka CCM.
- Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili kutengeneza mazingira ya kuwa na awamu ya sita yenye mihula miwili na kukwepa ukweli kwamba miaka yake ya uraisi ilipaswa kuwa mitano tu
- Kama awamu ya Samia ni ya sita, inabadilisha awamu ya uongozi wa Raisi wa Zanzibar pia, chini ya uongozi wa Mwinyi?
- Uongozi wa ofisi ya Raisi unapaswa utumikie kwa kipindi cha awamu moja yenye maximum miaka 10. Samia alipaswa kutokuwa mgombea wa uraisi wa 2025 kwa sababu "Ofisi ya Raisi" inayomhusu tayari imetumikia kwa miaka 10
- Je tutegemee Ilani mpya ya Uchaguzi toka CCM kwa kipindi cha 2025 - 2030, au tutarajie Ilani ya uchaguzi ya 2025-2035 ambayo Smia atatekeleza kwa miaka 5 ijayo na kuondoka?
Inahitaji viongozi wanyenyekevu kukiri haya mambo mawili na kusema ni vema, ngoja tuahirishe uchaguzi.
sawa mnafiki lakini unafiki wake unalisaidia taifa kwa sasaPolepole ni mnafiki katiba ya CCM ikivunjwa anawaka ikivunjwa ya jamuhuri ya Muungano kimya huyu maslai binafsi
Huyo anapigania maslai yake tu kusudi apate madaraka aendelee kuwaumiza Lissu ndo mzalendo Reforms sio za Lisuu kizazi na kizazi wanaweza kufaidika na Reformssawa mnafiki lakini unafiki wake unalisaidia taifa kwa sasa
Alipata Magufuli Shujaaalipata?
Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi.
Ni vema CCM wakubali kwamba makosa makubwa yamefanyika na watumie nafasi hii kukubali tuahirishe uchaguzi, ambapo pia itakuwa ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja; kurekebisha kanuni za uchaguzi kama walivyopendekeza Chadema, na pia kurekebisha utoporo waliofanya CCM katika suala la mgombea wa uraisi toka CCM.
- Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili kutengeneza mazingira ya kuwa na awamu ya sita yenye mihula miwili na kukwepa ukweli kwamba miaka yake ya uraisi ilipaswa kuwa mitano tu
- Kama awamu ya Samia ni ya sita, inabadilisha awamu ya uongozi wa Raisi wa Zanzibar pia, chini ya uongozi wa Mwinyi?
- Uongozi wa ofisi ya Raisi unapaswa utumikie kwa kipindi cha awamu moja yenye maximum miaka 10. Samia alipaswa kutokuwa mgombea wa uraisi wa 2025 kwa sababu "Ofisi ya Raisi" inayomhusu tayari imetumikia kwa miaka 10
- Je tutegemee Ilani mpya ya Uchaguzi toka CCM kwa kipindi cha 2025 - 2030, au tutarajie Ilani ya uchaguzi ya 2025-2035 ambayo Smia atatekeleza kwa miaka 5 ijayo na kuondoka?
Inahitaji viongozi wanyenyekevu kukiri haya mambo mawili na kusema ni vema, ngoja tuahirishe uchaguzi.
Sheria ya nchi, chama au.. Tusaidie kuiweka hiyo sheria hapa tuione.na sheria hairuhusu makamu wa Rais kugombea uRais
kumbe mama samia alisimamia ilani ya CCM ya awamu ya tano.heee.kazi ipo wangosha.ila ni kweli.tulifanya makosa kuiita awamu ya sita bila ilani mpya ya chama.na ndiyo maana kila miradi aliyotekeleza ni ya awamu ya tano na anayesifiwa ni hati JPM aliyeshiriki kuiandaa.sasa kama kwenye uchaguzi huu inaandaliwa ilani mpya ya CCM ,ni dhahiri mama akishinda ataitekeleza kwa miaka mitano tu.in that case CCM iandae ilani ya miaka mitano tuNimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi.