Polisi: Dereva wa Basi la SATCO alitishiwa na silaha bandia (Toyi), aliyetishia akamatwa

Yako mengi hayo,hasa baada ya kuruhusu madereva walale na magari ya serikali huku Huku Dodoma!
 
Hiv kuuliza cyo kosa au dhambi .
Tatizo ni mafunzo au ni Nini

Kama mtu una mafunzo ya kijeshi ya uhakika kama askari unaweza ukamtolea bastola mwanainchi wako ambae upo kwa akiri ya kumlinda.hana madhara makubwa ya matishio kisa gari imegalizwa?
 
Mashuhuda wanasema “driver wa lile gari allmkwida driver wa Bus akawa anamvutia kwenye gari la Serikali….kwa lengo ka kuondoka nae”

Hakuna driver wa Serikali anaweza kujiamulia kuchange plate number bila boss wake kujua

Hakuna driver wa TARURA anawazea kubeba na kutembea na toy la Bastola kiunoni. Hayupo

Hii story ya kindezi sana, aibu tunaona sisi na polisi hawajali wala nini
 
Hata Heche alikutana na caterpillar!
 
Peleka upuuzi mbali.
 
Mashuhuda wanasema “driver wa lile gari allmkwida driver wa Bus akawa anamvutia kwenye gari la Serikali….kwa lengo ka kuondoka nae”
 
ok.
 
Madereva siku wa Serikali wanakua na namba fake, sijui ni ujinga au ujuha.
Maana hizo namba za bandia huwa zina kazi maalum
Mfano wakt wa uchaguzi
Wakati wa mitihani ya Taifa
Lkn siku hizi ni km show off kila dereva anapambana boss wake apate namba feki wakt huwa kuna vibali maalum na shughuli maalum ya kufanya hivo.
 
PoiliCCM..... atakua kada huyo.
 
Kuna Ile gari Mwanza ilikuwa inamfuatilia Heche ikiwa na number plate ya uongo. Ila kama kawaida watu wakapinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…