Polisi: Dereva wa Basi la SATCO alitishiwa na silaha bandia (Toyi), aliyetishia akamatwa

Leo kuna iliyokuwa CRDB Bank Mwanza,kitakachokuwa kinaendelea sijui!

Wateja lindeni fedha zenu,mtasikia fedha zilichukuliwa na gari lenye namba feki
 
Kwani dereva wa TARURA haruhusiwi kuendesha gari binafsi?
 
Polisi wamesema anetumia namba ya gari la mtu mwingine.
 
Taarifa kwa umma za Hawa jamaa mara nyingi ni za kupika kwa kutumia mabokisi na cyo Kuni

TAL ukitoka gerezani kwa msamaha wa rais utakuja kutukomboa ..

Freedom is coming
Kwanini msamaha wa rais
 
Je umeamini kweli silaha ilikuwa bandia?
Je umeamini kweli plate number 'bandia' iliwekwa na dereva kwa utashi wake?
Je unaamini yule ni dereva wa TARURA tuu!?🤣
Haya ndiyo majibu sahihi. Hawa jamaa kawaida Yao kuwa plate numbers nyingi na huzitumia kuteka watu. Dereva wa kawaida hawezi bandika plate namba bandia kwenye gari ya serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…