Polisi: Dereva wa Basi la SATCO alitishiwa na silaha bandia (Toyi), aliyetishia akamatwa

Je umeamini kweli silaha ilikuwa bandia?
Je umeamini kweli plate number 'bandia' iliwekwa na dereva kwa utashi wake?
Je unaamini yule ni dereva wa TARURA tuu!?🤣
Hiyo plate number ya mtu ilifikaje mikononi kwa huyo dereva wa Tarura?? Ile plate namba ya vyombo vya usalama aliipataje?? Huo ufafanuzi inabidi mtu unywe maji mengi sana ndio uweze kuumeza
 
Mtani unawaamini hao jeshi la polisi??Hao wahuni wameamua kupindisha pindisha hilo jambo ili huyo dereva machine huru hii nchi imefika pabaya sana
 
Inawezekana mtekaji kajichanganya kwa police 🙌🏿🤣
Kuna wakati mwingine ''undercover'' akiwa kwenye operation maalum na akikamatwa na polisi huwa anakuwa amefundishwa kabisa kutosema ukweli na hata kukubali makosa ili tu asijulikane. Nimewaza nikajiambia... au ni dereva wa TARURA kweli alikuwa anaelekea kwenye kufanya mishe za utapeli? Lakini nikajiambia tena mwenyewe, ingekuwa hivyo asingetaka kujiingiza tena kwenye hatari ya kupambana na dereva mbele ya umati na kuji expose
 
Hapa kwenye hili huyu mwamba katoa boko.. Halafu police nao wakamuangushia jumba bovu afe nalo.. Japo pia inaweza kuwa ni michezo yao wote...!
 
Taarifa za polisi weru mara nyingi siyo za kuziamini sana kulingana na matendo na kauli zao za hivi karibuni.
 
Je umeamini kweli silaha ilikuwa bandia?
Je umeamini kweli plate number 'bandia' iliwekwa na dereva kwa utashi wake?
Je unaamini yule ni dereva wa TARURA tuu!?🤣
Gari za TARURA zinawekwa Tinted iliyokozwa kiasi kile? Tangu lini? Wakificha nn? Kuweka namba bandia ni kosa au siyo kosa kisheria?
Wafiche ujinga wao wa form four fairia wajinga hawa
 
Gari za TARURA zinawekwa Tinted iliyokozwa kiasi kile? Tangu lini? Wakificha nn? Kuweka namba bandia ni kosa au siyo kosa kisheria?
Wafiche ujinga wao wa form four fairia waj
Mazingira ya sakata la dereva wa gari la serikali, landcruiser mkonga, kumtishia dereva wa basi la SATCO mjini Dodoma , liemegubikwa na sintofahamu nyingi.

Ni hivi:
1. Gari hilo ni dark tinted kama kawaida ya magari ya wasiojulikana.

2. Hiyo bastola ambayo inasemekana feki haijulikani kama ilikamatwa hspo hapo.

3. "Kiongozi" aliyebebwa ndani yavgari, kibonge mweupe hajatambuliwa

4. Nyuma ya gari, tyre cover ina nembo ya vyombo vya ulinzi nabusalama.

5. Inasemekana dereva alitetishia bastola alimpigia mwenziwe ambaye alikuja eneo la tukio, hatuambiwi aliko tokomea.

6. Polisi wanasema nama ya serikali ilikiwa imefungwa namba plate fake ya gari jingine lakini hawajamtaja huyo mwenye namba feki. Na zaidi ya hapo ilikuwepo namba nyingine ya chombo cha ulinzi na usalama nda i ya gari

Credit: Jidu la mabambasi
 
Hata mimi siamini. Hivi dereva wa TARURA raia wa kawaida anapata vipi ujasiri wa kubandika namba bandia kwenye gari la serikali
Namba ya BANDIA, SPARE TYRE BANNER UHURU NA UMOJA. NUMBER PLATE NYINGINE FAKE INASOMA DS............
Watu sio wajinga kwa kiasi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…