Dodoma kila mtu anajifanya afisa usalama haswa hao madereva.Lengo la kuwa na silaha bandia ni lipi!?
Gari ya umma itabadilishiwa vipi namba za utambulisho kiholela hivi?
Ufala ni mwingi sana bongo
kunistaajabisha ni the audacity of telling the obvious lies kwenye vyombo vya habari kisa kumlinda kipepeo mmoja mpumbavu, hizo land-cruisers zenye fake numbers hazijawahi kuwa na wamiliki 'vitoi'.💪🏿Kuna mafala wataamini hizo giliba za polisi chawa wa Dodoma, hakuna mtu anayetembea na silaha bandia huku akitumia landcuiser la serikali linalotumia namba bandia.
Kinachonishangaza na kunistaajabisha ni the audacity of telling the obvious lies kwenye vyombo vya habari kisa kumlinda kipepeo mmoja mpumbavu, hizo land-cruisers zenye fake numbers hazijawahi kuwa na wamiliki 'vitoi'.
Je police wamechoka kuanguushiwa majumba mabovu?Gari la serikali, Toyota Landcuiser J250 linamuendesha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mwanga, Mkoani Kilimanjaro linatumia namba feki,likamatwe mara moja!
Registration yake ni SM......
ILA Linatumia namba T....... (B).....
Ukiangalia hili gari linawezaje kuwa limesajiliwa kwa namba B????
Kumbe tumetekwa Sana na silaha bandia🙌🏿🙌🏿😂🙆🏿♂Kinachoendelea watu walishafanya pilot study wakaona it is possible.
Si umeiona toy ambayo ukiinua juu inapitisha upepo?Kumbe tumetekwa Sana na silaha bandia🙌🏿🙌🏿😂🙆🏿♂
Umewaamini polisi kuwa ni toi!? Ila wamesema hata plate number ni binafsi sio SMT. Tujue tu amefichwa ASIYEJULIKANANi fala, angemkuta mtu ana Mkwaju angemuua au kumsababishia majeraha na ulemavu wa kudumu kwa kujihamo na usenge wake huo.
Huwezi mtishia mtu silaha hata kama ni bandia.
Kuna mbinu ya kumiliki silaha inaitwa "rise and kill first", unamtisha mtu na kitoi anakubutua kweli anajua unataka kumuua. Alimkuta dereva hana mkwaju, mimi ningeshakuwa nyuma ya nondo saa hii.
Hawa vijana wakiendesha magari ya serikali wanajiona wamemaliza.Na vipi kuhusu toy🤣🤣🤣🤣
Uongo ni mwingi hapo Nchi hii watu wote wanajua wenye tabia ya kubadili namba za magari ni kina nani nchii unakutana na gari ya mwaka 2021 ina namba A hiyo imekuwa kawaida ya vyombo vya usalama... Hapo tumezugwa na baada ya leo hutaisikia tena keai hiyoJeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia dereva wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Sath John Masawa (31), baada ya kubainika kutumia bastola ya kuchezea (toyi) kumtishia dereva wa basi la abiria, huku akiwa ametumia namba za usajili za kughushi kwenye gari la Serikali.
Tukio hilo lilimhusisha dereva wa basi la Kampuni ya Satco lenye namba za usajili T 308 EME, Said Fadhil (54), linalofanya safari zake hapa nchini.
Akizungumza kuhusu kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo leo, Septemba 22, 2026, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gallus Hyera, ameeleza kuwa uchunguzi wa kina wa Jeshi la Polisi ulibaini chombo alichokitumia mtuhumiwa huyo hakikuwa silaha halisi ya moto.
"Baada ya kumkamata mtuhumiwa huyo, Jeshi la Polisi lilifanya uchunguzi na kubaini kuwa kitu hicho hakikuwa bastola halisi kama ilivyodhaniwa awali, bali kilikuwa ni bastola ya kuchezea (toyi)," amebainisha Kamanda Hyera.
Katika hatua nyingine, Jeshi la Polisi limebaini kuwa wakati wa tukio hilo, gari hilo la TARURA lilikuwa likitumia namba za usajili T 881 ENZ badala ya namba zake halisi za usajili wa Serikali ambazo ni STM 5806, huku namba hizo za bandia zikigundulika kuwa ni mali ya mtu mwingine.
Kufuatia kubainika kwa ukiukaji huo wa sheria, Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa onyo kali kwa madereva na wamiliki wote wa vyombo vya moto nchini kujiepusha na matumizi ya namba za usajili zisizo halali.
#SasaLive #PolisiDodoma #TARURA #GallusHyera #SatcoBus UsalamaBarabarani Dodoma TanzaniaView attachment 3675775
Usisahau chini ya plate number hiyo kulikuwa na plate namba nyingine yenye nembo ya usalamaJambo ambalo huenda watu wengi hawalijui ni kwamba kila gari ya serikali ina namba za kiraia ambazo usajili wake unakoma haraka pindi linapopata nambari ya kiserikali lakini namba zile huhifafhiwa kwasababu dharura huweza kutokea ili zitumike.
Ila kama jamaa aliweka tu za kuchonga msala wake unaweza kuwa mkubwa zaidi ila kama alitumia zile za awali si issue kubwa
Bora wangenyamazaTaarifa kwa umma za Hawa jamaa mara nyingi ni za kupika kwa kutumia mabokisi na cyo Kuni
TAL ukitoka gerezani kwa msamaha wa rais utakuja kutukomboa ..
Freedom is coming
Kwanini msamaha wa rais
Kama wewe ni jaji nduguruKwanini msamaha wa rais
HahahahSi umeiona toy ambayo ukiinua juu inapitisha upepo?
most horrifying keywords kuwahi kutokea na kuonekana kawaida😁Dodoma
TARURA
Land Cruiser
Bastola bandia
tatizo teknolojia watu wanafanya kazi kwa mazoea tu🥲Sasa Tanzania😴 kazi tuu hata ya traffic ni nini kama plate number inawezabadlishwa tuu kiholela mnafatilia licence za nini sasa?
Technologies mbona wanazo na zinascan magari yote yanayopita na zimeunganishwa na TRA kabisa kwa maana iyo kuna wachache wakifanya makosa hawaulizwi wala kufuatiliwatatizo teknolojia watu wanafanya kazi kwa mazoea tu🥲