Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Walivamia clouds wakatajwa lkn hakuna lolote,
Wakamuineshea bastola nape wakatajwa na hata picha zao kuonekana,hawajafanywa kitu,
Wakamfyatulia risasi malima na hawajachukuliwa hatua,
Ni aibu kusema watajwe wakati waliotajwa awali hawajafanywa lolote,huu ni unafki,tukiamua kushughulika na jambo tushughulike kwa ukweli,
Hizi ni siasa tu dhamiri na mioyo yenu inajua na yamkini imefurahi enyi waovu,hampendi kukosolewa lkn mnajidai mnapenda taarifa,
Kila tukio eti watu wasiojulikana,inamaana wasiojulikana wananguvu zaidi ya askari wetu,najiuliza hili lingemkuta wazir nk,
Mnataka taarifa wakati kuna MTU alipost kitisho mtandaoni na hamjamshtaki,
Shetani yupo kazini na kavaa utakatifu wa kubumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu hata kwa mzazi aliyekuleta duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenda zitasaidia,

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Nawaza kwa mawazo mapana sana tena sana na ninaumia moyo sana , pamoja na UCCM wangu wa damu kabisa lakin nadiriki kusema hali hii haimpendezi mungu ,TUNALITIA LAANA NA NAJISI TAIFA LENYE BARAKA .
Anajitia laana anaetuma watu kuua,kuteka na kutesa,laana matokeo yake yanajulikana,na atavuna kwa wakati wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kumuua MTU mpe jina baya ili ukimuua watu wachukulie kafa muovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nissan Patrol Tinted, haina haja ya kujisumbua.
Huu uvamizi ni uvamizi ambao hauna akili, nchi za wenzetu wangeonekana mapema sana,satellites kila mahala na maprofeshino IT wenye uwezo wa hali ya juu wangeweza ku-detect na kubaini mapema sana.

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Aisee!

post using my macbook air using jamiiforums app
 
yuko salama huyu hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…