BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,508
- 11,897
Yaani jeshi linasubiri kupewa taarifa tuu???risasi zina serial no Kwa nini wasianzie hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani jeshi linasubiri kupewa taarifa tuu???risasi zina serial no Kwa nini wasianzie hapo?
Sawa peleka taarifa polisi
Msaada wa Nini??Intelejensia ya kumkamata haihitaji msaada, ameshambuliwa intelejensia inahitaji msaada!!!!! ¡!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aibu hata kwa mzazi aliyekuleta dunianiMimi kama Mtanzania naungana na wenzangu kumtakia afya njema T.L. kufuatia shambulio dhidi yake mijini Dodoma.
Leo tumeambiwa wazi na Rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli, wakati akikabidhiwa ripoti za kamati mbili za kuchunguza madini ya Almas na Tanzanite kuwa, majadiliano kati ya Serikali na Barrick ni yanaendelea na ni magumu na kwamba Barrick walilazimika kuongeza timu ya pili kwa ajili ya majadiliano licha ya sisi kubakia na Wajumbe walewale.
Sasa, je mnadhani hao jamaa walikuja kwa ajili ya mazungumzo tu ama mikakati ya kumkatisha tamaa Rais ili achukiwe na wananchi wake? Mimi nina uhakika wa madhaka kuwa, Barrick na Acacia watakuwa na mkono wao dhidi ya jaribio la kumuua Tundu Lissu. Wanajua wakimuua Lissu, kila mtu atainyooshea kidole Serikali.
Tusijidanganye, Dola ina uwezo wa kumuua tena kwa urahisi sana bila kutumia njia zilizotumika. Hiyo njia wabaya wa Serikali walitaka kuipublicise kipindi cha Bunge. Serikali isingesubiri wakati wa Bunge never. Ninaamini Barrick na Acacia wana mkono wao.
Na kwa kuwa kuna tuhuma pia za Lissu kushirikiana nao inawezekana majamaa yamemtumia na yanataka kumgeuka. Kama ni kweli, basi Lissu bado ana hatari ya kuvamiwa tena ili kummmaliza ili asitoe siri wakati atakapopona (hapo hata akijua ni wao hawezi kutoa Siri kwa kuwa itammaliza mwenyewe kisiasa).
Maintelejensia kipindi hiki mtaongezeka sana!Yani huyo kamanda wa polisi hata anavyoongea tu ukicheki body language yake inaonyesha kabisa kuna kitu anakijua...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenda zitasaidia,Ndugu zangu, nimejaribu kufuatilia yanayojili hususani jaribio la kutaka kumwua Mh. Tundu Lissu kama lilivyo-repotiwa na vyombo vya habari na response ya Jeshi la Police la Tanzania, division ya Dodoma...nilichojifunza ni kwamba hakuna jeshi la police bali kundi la wahuni waliovaa sare zinazofanana na za jeshi la Police....
Tunajua mapungufu ya Police na tunajua kuwa jaribio hili lina harufu ya kisiasa na huenda haki isitendeke, unless we join hands ili hawo waharifu wapatikane. ningependekeza yafuatayo...
wandugu, mwenye mbinu zaidi za kiupepelezi atupie...
- Tu-engage watu wa mitandao ya simu.nijuavyo mimi, mitandao ya simu hutumia satellite na hivyo ni rahisi kujua watu waliokuwa wanamfuatilia Lissu. kwa mfano, tukianzia Bungeni Dodoma wakati Lissu anaondoka, mpaka anafika nyumbani...kupitia network providers utaweza kuona namba za simu zilizokuwa karibu na eneo la Tukio...hivyo basi inaweza kuwa one of the leading step of investigation
- baada ya tukio, Gps ilionyesha hizo simu zikienda wapi....hapa namaanisha kuwa kutaonekana movement (pings)...
- watu gani walipigiwa simu kwa muda huo na hawo watu wako wapi? kwa ku-consider Radius ya eneo la tukio na ku-detect namba za simu itakuwa rahisi sana kuwapata hawo waharifu
- Namba zote zinazoonekana kwenye GPS, watu hawo watafute, wahojiwe na haki ichukue mkondo wake.
Anajitia laana anaetuma watu kuua,kuteka na kutesa,laana matokeo yake yanajulikana,na atavuna kwa wakati wakeNawaza kwa mawazo mapana sana tena sana na ninaumia moyo sana , pamoja na UCCM wangu wa damu kabisa lakin nadiriki kusema hali hii haimpendezi mungu ,TUNALITIA LAANA NA NAJISI TAIFA LENYE BARAKA .
Ukitaka kumuua MTU mpe jina baya ili ukimuua watu wachukulie kafa muovuHuwezi kuthink nje ya box kabla kwanza hujathink ndani ya box.
Embu tuambie tu, ndani ya box unafikiri nani anahusika?
Nani ni adui wa Lissu?
Kwanini makada karibu wote wa kijani walikuwa busy mitandaoni kwa zaidi ya miezi mitatu sasa kuwaita kina Lissu ni 'wahaini'?
Unajua hukumu ya mhaini?
Huu uvamizi ni uvamizi ambao hauna akili, nchi za wenzetu wangeonekana mapema sana,satellites kila mahala na maprofeshino IT wenye uwezo wa hali ya juu wangeweza ku-detect na kubaini mapema sana.Nissan Patrol Tinted, haina haja ya kujisumbua.
Lissu ameanza kuongea?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134]Taarifa alishaitoa Lissu mwenyewe gari lililokuwa linamfatilia sasa taarifa gani wanataka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!Walivamia clouds wakatajwa lkn hakuna lolote,
Wakamuineshea bastola nape wakatajwa na hata picha zao kuonekana,hawajafanywa kitu,
Wakamfyatulia risasi malima na hawajachukuliwa hatua,
Ni aibu kusema watajwe wakati waliotajwa awali hawajafanywa lolote,huu ni unafki,tukiamua kushughulika na jambo tushughulike kwa ukweli,
Hizi ni siasa tu dhamiri na mioyo yenu inajua na yamkini imefurahi enyi waovu,hampendi kukosolewa lkn mnajidai mnapenda taarifa,
Kila tukio eti watu wasiojulikana,inamaana wasiojulikana wananguvu zaidi ya askari wetu,najiuliza hili lingemkuta wazir nk,
Mnataka taarifa wakati kuna MTU alipost kitisho mtandaoni na hamjamshtaki,
Shetani yupo kazini na kavaa utakatifu wa kubumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna update moja hapa wanajamvi
Inasemekana TUNDU LISSU alikuwa katika gari na driver wake je driver wake ana hali gani?
Na kama yuko salama analipi la kuliambia jeshi la polisi kuhusu tukio hili?
post using my macbook air using jamiiforums app
Dereva alikuwa out of his mind yaani alishika nguo pasi kujua zimeloa damu Sana