Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Msipoteze muda kusubiri jeshi la police lifanye uchunguzi..
uko wapi uchunguzi wa Roma alivyotekwa.. Ben Saanane.. Mawazo alivyouawa.. Nape kutolewa Bastola..

Ofisi za IMMMA Advocate kurushiwa bomu. Uko wapi uchunguzi wa kuvamia Clouds kwa mitutu ya bunduki.. uko wapi uchanguzi wa kuvamiwa kwa mikutano ya CUF na waandishi wa habari. Wako wapi walioshtakiwa kumuua Dr Mvungi?

CHADEMA stuka. Tunachanga pesa kwa ajili ya matibabu ya Lissu na vile vile kwa ajili ya private investigator
 
Si uziseme sasa, kwani mpaka uulizwe? Hapa ulipojibu mbona hukuulizwa?
 
Acha kulichafua jeshi letu la Polisi. Kuweni na subra.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Duuuuu!!!!! Ni Kweli? laana inarudi hadhatani.
 
Wazo lako jema sana Mkuu..
Shida kuleta Private Investigator lazima serikali ikubali..
Mbowe alishasema aletwe Private Investigator kwa issue ya Ben Saanane lakini serikali kupitia Waziri Mkuu IKAKATAA.
 

Kisu kimegusa mfupa, naona unafurukuta tu.
 
So?
 
Mi ni mganda by birth niulize nikupe info za ile nchi
Wewe mganda mwenye "info" za uganda unataka kusema kuwa Dr. Kiwanuka hakuuawa na Idd Amin? Na je si kweli kwamba Idd Amin mwenyewe alitoa agizo atafutwe mpaka apatikane huku akijua kwamba Kiwanuka keshafariki?
 
Na jumuiya za kimataifa zihusike ktk hili.
Pia msichukulie poa suala la usalama na ulinzi wenu.


Mungu simama na watanzania, mponye lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…