Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Msipoteze muda kusubiri jeshi la police lifanye uchunguzi..
uko wapi uchunguzi wa Roma alivyotekwa.. Ben Saanane.. Mawazo alivyouawa.. Nape kutolewa Bastola..

Ofisi za IMMMA Advocate kurushiwa bomu. Uko wapi uchunguzi wa kuvamia Clouds kwa mitutu ya bunduki.. uko wapi uchanguzi wa kuvamiwa kwa mikutano ya CUF na waandishi wa habari. Wako wapi walioshtakiwa kumuua Dr Mvungi?

CHADEMA stuka. Tunachanga pesa kwa ajili ya matibabu ya Lissu na vile vile kwa ajili ya private investigator
 
Hadithi za primary.... kwa kumezeshwa mabaya ya idd amini toka kwa whites...

Endelea kuwa mtumwa alafu ipo day utagundua amini ni nani na lengo la yoote ilikua nin.


Acha propaganda za primary.
na manyimbo ya mxhakamchaka ya miaka ile hujui lolote ndio umekua nayo.. now unajua hautak kuchambua.

Mi ni mganda by birth niulize nikupe info za ile nchi

Sent from "La -Vista"
Si uziseme sasa, kwani mpaka uulizwe? Hapa ulipojibu mbona hukuulizwa?
 
Msipoteze muda kusubiri jeshi la police lifanye uchunguzi..
uko wapi uchunguzi wa Roma alivyotekwa.. Ben Saanane.. Mawazo alivyouawa.. Nape kutolewa Bastola.. Ofisi za Imma Advocate kurushiwa bomu.. wako wapi uchunguzi wa kuvamia Clouds kwa mitutu ya binduki.. uko wapi uchanguzi wa kuvamiwa kwa mikutano ya CUF na waandishi wa habari.. wako wapi walioshtakiwa kumuua dr Mvungi?
Chadema stuka.. tunachanga pesa kwa ajili ya matibabu ya Lissu na vile vile kwa ajili ya private investigator
Acha kulichafua jeshi letu la Polisi. Kuweni na subra.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa mtu aliweza 'Kumbaka mtoto wake wa kumzaa yeye mwenyewe' huku akiwa kiongozi wa wizara , na hatimae binti kuamua kujiua kutokana na unyama aliofanyiwa na 'Nduli' yule ambae anaishi pale 'magologoloni'.....ndio atashindwa kummaliza Kamanda TL?

Ukitaka ujue yule jamaa ni 'Mnyama' angalia sura yake. Sura yake ina reflect 'roho yake mbaya' jinsi ilivyo. Ni jamaa katili sana kuwahi kutokea hapa duniani....lakini cha kushangaza anawafanya watu ni wajinga 'eti mniombee' .... pa.m.di.di , amuombee nani?

Natamani Mungu afanye muujiza wa kweli ili kuweza kutuondolea 'mtu yule'.

Mungu mfanyie wepesi ndugu yetu na mpendwa wetu TL ili aweze kupona haraka, tunaamini wewe ni MUNGU WA KWELI.

Duuuuu!!!!! Ni Kweli? laana inarudi hadhatani.
 
Wazo lako jema sana Mkuu..
Shida kuleta Private Investigator lazima serikali ikubali..
Mbowe alishasema aletwe Private Investigator kwa issue ya Ben Saanane lakini serikali kupitia Waziri Mkuu IKAKATAA.
 
Hadithi za primary.... kwa kumezeshwa mabaya ya idd amini toka kwa whites...

Endelea kuwa mtumwa alafu ipo day utagundua amini ni nani na lengo la yoote ilikua nin.


Acha propaganda za primary.
na manyimbo ya mxhakamchaka ya miaka ile hujui lolote ndio umekua nayo.. now unajua hautak kuchambua.

Mi ni mganda by birth niulize nikupe info za ile nchi

Sent from "La -Vista"

Kisu kimegusa mfupa, naona unafurukuta tu.
 
September 21, mwaka 1972, Jaji Mkuu wa Uganda kipindi cha utawala wa dikteta Idi Amin, alitekwa ndani ya vyumba vya mahakama kuu ya Uganda na kupotea kwa siku 4 hadi pale serikali ya Uganda ilipoanza yenyewe kusambaza taarifa za uongo kuwa mwili wa Dr.Kiwanuka ulikuwa umeonekana ukielea juu ya mto Nile, na serikali ilijitia kuagiza kuwa wauaji/watekaji wa Dr.Kiwanuka wangetafutwa popote walipo na kukabiliana na hatua za kisheria.

Lakini ukweli ni kuwa Idi Amin mwenyewe kwa mkono wake mwenyewe alikuwa amemwua Dr Kiwanuka baada ya Jaji huyo kuwa amechukizwa na kukosa utawala wa Amin kwa kukiuka wazi wazi utawala wa sheria.

Ajabu baada ya mauaji, Idi Amin alihifadhi mwili wake katika mafriji ya Ikulu ya nchi hiyo na akawa akipita hospitali moja baada ya nyengine eti akitafuta mwili wa Dr Kiwanuka. Pia alikuwa akitema mkwara mzito kwamba yeyote ambaye angekamatwa kwa mauaji ya Dr Kiwanuka angekiona cha mtema kuni...

Watawala wa Kiafrika wana mambo sana duh!
So?
 
Mi ni mganda by birth niulize nikupe info za ile nchi
Wewe mganda mwenye "info" za uganda unataka kusema kuwa Dr. Kiwanuka hakuuawa na Idd Amin? Na je si kweli kwamba Idd Amin mwenyewe alitoa agizo atafutwe mpaka apatikane huku akijua kwamba Kiwanuka keshafariki?
 
Na jumuiya za kimataifa zihusike ktk hili.
Pia msichukulie poa suala la usalama na ulinzi wenu.


Mungu simama na watanzania, mponye lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom