Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mbona taarifa za Barrow yule RPC wa Mwanza aliye uawa kwa risasi zinawekwa mahojiano ya mahakamani. Kwa nini hao zisiwekwe.Shida yako umejaa jazba. Sio kila uchunguzi taarifa zake zinawekwa hadharani.
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisaMbona taarifa za Barrow yule RPC wa Mwanza aliye uawa kwa risasi zinawekwa mahojiano ya mahakamani. Kwa nini hao zisiwekwe.
ongezeko la mashoga tz
Hayo si maoni tu mkuu povu la nn ?Hadithi za primary.... kwa kumezeshwa mabaya ya idd amini toka kwa whites...
Endelea kuwa mtumwa alafu ipo day utagundua amini ni nani na lengo la yoote ilikua nin.
Acha propaganda za primary.
na manyimbo ya mxhakamchaka ya miaka ile hujui lolote ndio umekua nayo.. now unajua hautak kuchambua.
Mi ni mganda by birth niulize nikupe info za ile nchi
Sent from "La -Vista"
well saidSi rahisi kama unavyofikiria. Wauaji hawawezi kukubali kuchunguzwa. Kwa sasa kunahitajika jitihada na mbinu mchanganyiko ili kutoka hapa tulipo. Lakini kwa kutegemea kupewa haki kwenye sahani, tushau kabisa. Haki hutafutwa.
Tundu Lisu anatiimiza wajibu wake bila ya hofu ya maisha yake. Wengine tumefanya nini?
Mzee Tupatupa unaanza safari ya kuwasaka "watu wasiojulikana" waliofyatua risasi na kutokomea "kusikojulikana" kwa gari ambayo namba zake "hazijajulikana"?Chunga na wewe usijeishia "kusikojulikana"!Kwakuwa Jeshi la Polisi limealika uwasilishwaji wa taarifa kuhusu kushambuliwa kwa risasi kwa Lissu,mimi VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa naanza safari ya kuzisaka taarifa. Natoka hapa Kibiti,Pwani kwenda Dodoma.
Risasi 32 si jambo la kawaida. Kwa uzoefu,historia na fani yangu naamini nitapata la kulipata na kuliwasilisha polisi. Nakwenda Dodoma kwa kazi maalum. Ikinipasa,nitakwenda Singida,Dar na kwingineko. Naanza na Dodoma
Wasiojulikana watajulikana tu. Tuwe na subira. Mpunga hufukiwa lakini wakati muafaka unapofika huchomoza. Hakuna siri ya milele
Smg ya nini tena jamani!?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Dodoma)