Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

safi sana.. Haya Chadema kuna sehemu ya kuanzia.. mpeni kijana kazi
if they are serious let them contact Me. niko Kenya kwa sasa but naweza kuja muda wowote..... hiyo kesi nyepesi sana
 
Kutokana na kile kinachoitwa watu wasiojulikana kumshambulia kwa risasi Rais wa TLS, MBUNGE/SINGIDA MASH.. na MWANASHERIA MKUU wa CHADEMA, Mh. Tundu Antipas Lissu.. (Allah ampe shifaa, Apone haraka!! AMINA.)
Iko haja kwa vyombo vya ulinzi na usalama kumhoji yule jamaa aliyeomba ruksa ya kutaka kumuua Mh. Tundu Lissu. Huyu mtu si wa kubezwa wala kupuuzwa, UHAI ni haki ya msingi ya kila binadamu na viumbe vingine, inapotokea mtu aliyetimamu anatishia uhai wa mtu mwingine tena hadharani na akionesha wazi hatanii, hilo si jambo la kubeza. Tena muda mfupi baada ya tamko lake hilo ambapo ni takribani wiki mbili tu, kunatokea jaribio la kuuawa mtu yule yule!! Hapana, huyu si wa kuachwa hivi hivi, haraka iwezekanavyo Jeshi la polisi limshikilie huyu mtu kwa mahojiano wakati upelelezi ukiendelea kuwabaini wahusika halali..!!!

SIASA SIO VITA, TUNATAKA AMANI YETU IENDELEE KUDUMU..!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani hizo kazi mtu anapewa kama keki.....

Wewe umemuamini kwa kuwa kaaandika mtandaoni na FAKE ID......,!!??

What if na yeye ni mwanausalama wa tiss...!!?

Acha mihemko
Mkuu Chadema nao wana akili zao... kuna taratibu za kufuata kabla ya kumpa mtu kazi kiongozi..
 
Maskini hii nchi sijui tunaelekea wapi!
Alianza Ben saa8, wakaja wengine tusiowajua, leo hii tena Lissu, sijui ni nani anafuatia!
 
Mnataka kwenda mbio wakati hakuna break..... Funzo sio tabia nzuri kutengeneza maadui bila sababu.... Ulimi uliponza kichwa!
 
Yule aliyemtishia nape mpaka leo hajakamtwa sembuse huyo wa Lissu
 
Nikisikia tu watu wasiojulikan imani ya kuwapata wahalifu huuwa nakosa kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipoteze mda wako hao ni majambazi sugu wa lumumba walitaka kupora uhai wake,majibu yao jana kua tuwasaidie ni tosha kabisa kujua

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi wewe kwa akili ya kawaida tu, ikiwa aliyevamia clauds fm na silaha, aliyemtishia Nape bastola mchana kweupe Serikali haikusema chochote, hivi Lissu ni muhimu kuliko Nape na clauds fm? Siwezi hitimisha matendo na hatua zitakazochukuliwa zitathibitisha hilo.
 
Hii picha ishaishia hapa mkuu hakuna kitakachoendelea,toka yule mtu ameandika aruhusiwe amuue uliona vyombo vyetu vya Usalama vikimuhoji,ila angetukanwa/Kutumiwa huo ujumbe Sizonje wao ungeshangaa mara moja mtu angeshakamatwa, nadhani tuweke maisha yetu kwa Mungu basi ila sio kwa Polisi wetu
 
Very true, hata hapa Jukwaani kulikua na Wapuuzi wengi wengi sana waliotaka na kuhamasisha Tundu Lissu auwawe, maandiko yapo hapa na maandiko yanaishi.
 

Kabila la watu wasiojulikana sijui wnatokea mkoa gani yawezekana Polisi wetu wanajua KABILA hili linatokea mkoa gani
 
Suala la Lissu naliona kwa macho mawl tu. Mosi, kukubalika kwake kuliko mtu yyte ndani ya cdm ili hari c takwa la mbowe. Pili, njama za mafisadi, drug dealers, waiba madini kwa lengo la kumchafua Rais aonekane ndo mhusika. Vita ya uchumi ni mbaya kuliko vita yyte duniani. Taarifa nilizo zpata toka kwa ndg yang aliepo nje ni kuwa uchumi wa mataifa yoooote duniani yaliyokua yananufaika kwa wizi wa madini na mali zngne toka Tz umeanza kuyumba. Hivyo wanatumia kila mbinu kuhakikisha Magu anachafuka sana kitaifa na kimataifa. Kisha wanatengeneza uadui mkubwa kati ya raia na serikali then vita inaanza chn ya ufadhili wao wanaanza kuyapola upya. Rejeeni what eventuates in Congo. The only way, tushikamane wahusika wa tukio hili la zaidi ya ushetani alilofanyiwa Lissu wapatikane na kunyongwa hadi kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii thread imendikwa na mtu asiyejulikana!

POLISI na WATU WASIOJULIKANA WANAHUSIKA HAPA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…