Nimemssikia IGP Sirro akiongea na media jana akisema Jeshi la Polisi liko serious(makini)kwenye kuchunguza nani waliohusika na shambulio la mauaji kwa Mbunge Tundu Antipas Lissu.
Ahadi za IGP kwamba wako makini na watawakamata waliohusika na shmabulio hilo zinaonesha hammanishi anachokisema. Nitaeleza.
Kuna habari za kuaminika kwamba gari lililokuwa likimfutilia Tundu Lissu toka Bungeni akielekea nyumbani kwake mchana huo ni GARI LINAJULIKANA na ndiyo hilo hilo ambalo hata Mbunge wa MTAMA(CCM) Nnape Nnauye amelitaja jana alipohojiwa na media. Nnape Nauye amesema alipoongea na BBC kwamba kwa nchi ambayo inaheshimu Utawala wa Sheria haiwezekaqni watu wawe wana toa taarifa kwa Polisi Nnape akiwa mmoja wao kwamba kuna GARI LINAWAFUATILIA na ni gari hilohilo lilimewahi kumfutilia Lissu alipolitaja kwa rangi na namba zake. Gari hilo ni
T460CQV aina ya
Toyota Premio la vijana wa TISS. Angalia Link hii ni ushahidi tosha:
Youtube
Tundu Lissu alitoa taarifa hizi kwa IGP Sirro na Kamanda Kipilimba akiwatuhumu kuwatuma watu wa Usalama wa Taifa kumfuatilia TL badala ya kufanya kazi ya kufuatilia wahalifu.
Kama IGP Sirro yuko serious basi aanze na hili gari
T460 CQV linaloendeshwa na vijana wa TISS. Watu hawa ndio walio mnyoshea bastola/bunduki Nnape Nnauye alipofukuzwa Uwaziri alipounda Tume ya kuchunguza sakata la RC Paulo Makonda baada ya kuvamia Clouds TV akiwa na Polisi. Hivo IGP Sirro anza na usajili wa gari hilo kujua nani mmiliki wake,anakaa wapi ana kazi gani na ana uhusiano gani na TISS. Nina hakika akipatikana mwenye gari hilo basi waliotaka kumwangamiza Tundu Lissu nao watapatikana.
Kazi kwako Kamanda Sirro if and only if you mean serious about this business.
Nje ya hayo IGP Sirro anaenda kuwa IGP ZIRO(0).