Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He will never as killers cannot uncover their own graves
Msaliti hawezi kuwa kipaumbele ...Taifa lina mambo mengi ya kuyashughulikia ambayo yanaleta TIJA... why spent time and shilings kwa ajili ya MSALITI...Nimemssikia IGP Sirro akiongea na media jana akisema Jeshi la Polisi liko serious(makini)kwenye kuchunguza nani waliohusika na shambulio la mauaji kwa Mbunge Tundu Antipas Lissu.
Ahadi za IGP kwamba wako makini na watawakamata waliohusika na shmabulio hilo zinaonesha hammanishi anachokisema. Nitaeleza.
Kuna habari za kuaminika kwamba gari lililokuwa likimfutilia Tundu Lissu toka Bungeni akielekea nyumbani kwake mchana huo ni GARI LINAJULIKANA na ndiyo hilo hilo ambalo hata Mbunge wa MTAMA(CCM) Nnape Nnauye amelitaja jana alipohojiwa na media. Nnape Nauye amesema alipoongea na BBC kwamba kwa nchi ambayo inaheshimu Utawala wa Sheria haiwezekaqni watu wawe wana toa taarifa kwa Polisi Nnape akiwa mmoja wao kwamba kuna GARI LINAWAFUATILIA na ni gari hilohilo lilimewahi kumfutilia Lissu alipolitaja kwa rangi na namba zake. Gari hilo ni T460CQV aina ya Toyota Premio la vijana wa TISS. Angalia Link hii ni ushahidi tosha: Youtube
Tundu Lissu alitoa taarifa hizi kwa IGP Sirro na Kamanda Kipilimba akiwatuhumu kuwatuma watu wa Usalama wa Taifa kumfuatilia TL badala ya kufanya kazi ya kufuatilia wahalifu.
Kama IGP Sirro yuko serious basi aanze na hili gari T460 CQV linaloendeshwa na vijana wa TISS. Watu hawa ndio walio mnyoshea bastola/bunduki Nnape Nnauye alipofukuzwa Uwaziri alipounda Tume ya kuchunguza sakata la RC Paulo Makonda baada ya kuvamia Clouds TV akiwa na Polisi. Hivo IGP Sirro anza na usajili wa gari hilo kujua nani mmiliki wake,anakaa wapi ana kazi gani na ana uhusiano gani na TISS. Nina hakika akipatikana mwenye gari hilo basi waliotaka kumwangamiza Tundu Lissu nao watapatikana.
Kazi kwako Kamanda Sirro if and only if you mean serious about this business.
Nje ya hayo IGP Sirro anaenda kuwa IGP ZIRO(0).
Siri kali ina mkono 200%
Naogopa kupimwa mkojo ningefunguka
Msaliti hawezi kuwa kipaumbele ...Taifa lina mambo mengi ya kuyashughulikia ambayo yanaleta TIJA... why spent time and shilings kwa ajili ya MSALITI...
Hii kitu naona ni ngumu kumesa!
Pole sana mkuu.Nayahisi machungu uliyonayo lkn punguza hasira.Twende mdogo mdogo tu tutafika(slowly but sure) hata bibi nae alikuwa binti.Funguka acha woga vinginevyo jamaa wataendelea kuumiza watz. Na inatakiwa hilo gari likionekana lichomwe moto. Na sasa hiv inatakiwa tukiambiwa tu gari linamfuatilia mtu hakuna haja ya kungoja polisi ni kulitia kiberiti tu na waliomo ndani.
NAKUONA MFUASI WA PEPO...Msaliti hawezi kuwa kipaumbele ...Taifa lina mambo mengi ya kuyashughulikia ambayo yanaleta TIJA... why spent time and shilings kwa ajili ya MSALITI...
msaliti??? duh sasa chenge au yona aliyesaini mikataba hii mibovu ama kina simbachawene walioingiza nchi hasara kwa tamaa za matumbo yao tuwaieteje if at all lisu ni msaliti????Msaliti hawezi kuwa kipaumbele ...Taifa lina mambo mengi ya kuyashughulikia ambayo yanaleta TIJA... why spent time and shilings kwa ajili ya MSALITI...
kwahyo kazi yao ni kumfuatilia lisu ila sio chenge na mkapa walioingiza taifa hili kwenye hasara!!