Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Yaani hii ni sawa dem wako achepuke,afu unaend kumwambia mchepuko wake kua dem ako anawa cheat
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapimwa mkojo, nani kasema serikali inatuhumiwa? achana na kitu hicho nduguKatika sakata hili la shambulio la Lissu wengi wanaamini kuwa limefanywa na watu wa serikali, hasa kutokana na uhusiano aliokuwa nao Lissu dhidi ya serikali.
Hali imepelekea kuongezeka kwa chuki dhidi ya serikali, na hata uchunguzi na upelelezi unaofanywa na serikali kupitia jeshi la polisi ukija na majibu gani bado watu wataendelea kuamini kuwa kuna mkono wa watawala kwenye sakata hili.
Hivyo basi kuondoa dhana hii na kwa vile tayari serikali inatuhumiwa na mtuhumiwa hawezi kujichunguza na kujipeleleza, vyombo vyote vya serikali linavyofanya uchunguzi kuhusu jambo hili vijitoe na baadala yake kwa gharama ya serikali kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) watafutwe wataalamu kutoka nje kwa ajili kufanya uchunguzi wa sakata hili.au uindwe kamati huru yenye wataalamu kutokana makundi mbalimbali kwa ajili ya kuchunguza sakata hili lenye lengo la kututumbukiza kwenye machafuko na umwagaji damu.
Kwa kufanya hivyo serikali kama haihusiki itakuwa imejisafisha na kurudisha imani kwa wananchi kuwa haijahusika na jaribio la kutaka kumuua Tundu Lissu.
Acha bangi wewe....tukio Hilo Ni jinai iliyofanyika katika Ardhi ya Tanzania Na Jeshi la Polisi Lina mamlaka kamili ya kuchunguza. Why do you chadema want to make a mountain out of a hill?Katika sakata hili la shambulio la Lissu wengi wanaamini kuwa limefanywa na watu wa serikali, hasa kutokana na uhusiano aliokuwa nao Lissu dhidi ya serikali.
Hali imepelekea kuongezeka kwa chuki dhidi ya serikali, na hata uchunguzi na upelelezi unaofanywa na serikali kupitia jeshi la polisi ukija na majibu gani bado watu wataendelea kuamini kuwa kuna mkono wa watawala kwenye sakata hili.
Hivyo basi kuondoa dhana hii na kwa vile tayari serikali inatuhumiwa na mtuhumiwa hawezi kujichunguza na kujipeleleza, vyombo vyote vya serikali linavyofanya uchunguzi kuhusu jambo hili vijitoe na baadala yake kwa gharama ya serikali kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) watafutwe wataalamu kutoka nje kwa ajili kufanya uchunguzi wa sakata hili.au uindwe kamati huru yenye wataalamu kutokana makundi mbalimbali kwa ajili ya kuchunguza sakata hili lenye lengo la kututumbukiza kwenye machafuko na umwagaji damu.
Kwa kufanya hivyo serikali kama haihusiki itakuwa imejisafisha na kurudisha imani kwa wananchi kuwa haijahusika na jaribio la kutaka kumuua Tundu Lissu.
Jalibuni kua na weredi..wako sawa,sasa kama kuna raia aliona au ana hisi watu/mtu fulani why asipeleke taarifa?mbona ni kitu cha kawaida tu na ni msaada toshaduh[emoji22][emoji22][emoji22]....very sad aki ya nan tupo bongo Bahati mbaya,
Sent using Jamii Forums mobile app