Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nadhani tusimuulize sirro anything labda tumuulize alie "WISH TO BE IGP KASHAKUWA IGP"? Sometimes wishes get granted jamani am just thinking loud nipo kwenye fog nene saana huku namuombea president lissu apate afya arudi kutupigania ....Sijui upelelezi kuhusu wale walipuaji wa IMMA Advocates nao umefikia wapi. Mtu asiyejulikana ni hatari sana hapa Tanzania. No wonder watu wamemaintain mizigo yao kadhaa isiyojulikana na bado maisha yao ya ndoa yapo safi kabisa
TISS gani hao ambao wanatumia NAMBA hizo hizo za gari MOJA Kila siku?Nimemssikia IGP Sirro akiongea na media jana akisema Jeshi la Polisi liko serious(makini)kwenye kuchunguza nani waliohusika na shambulio la mauaji kwa Mbunge Tundu Antipas Lissu.
Ahadi za IGP kwamba wako makini na watawakamata waliohusika na shmabulio hilo zinaonesha hammanishi anachokisema. Nitaeleza.
Kuna habari za kuaminika kwamba gari lililokuwa likimfutilia Tundu Lissu toka Bungeni akielekea nyumbani kwake mchana huo ni GARI LINAJULIKANA na ndiyo hilo hilo ambalo hata Mbunge wa MTAMA(CCM) Nnape Nnauye amelitaja jana alipohojiwa na media. Nnape Nauye amesema alipoongea na BBC kwamba kwa nchi ambayo inaheshimu Utawala wa Sheria haiwezekaqni watu wawe wana toa taarifa kwa Polisi Nnape akiwa mmoja wao kwamba kuna GARI LINAWAFUATILIA na ni gari hilohilo lilimewahi kumfutilia Lissu alipolitaja kwa rangi na namba zake. Gari hilo ni T460CQV aina ya Toyota Premio la vijana wa TISS. Angalia Link hii ni ushahidi tosha: Youtube
Tundu Lissu alitoa taarifa hizi kwa IGP Sirro na Kamanda Kipilimba akiwatuhumu kuwatuma watu wa Usalama wa Taifa kumfuatilia TL badala ya kufanya kazi ya kufuatilia wahalifu.
Kama IGP Sirro yuko serious basi aanze na hili gari T460 CQV linaloendeshwa na vijana wa TISS. Watu hawa ndio walio mnyoshea bastola/bunduki Nnape Nnauye alipofukuzwa Uwaziri alipounda Tume ya kuchunguza sakata la RC Paulo Makonda baada ya kuvamia Clouds TV akiwa na Polisi. Hivo IGP Sirro anza na usajili wa gari hilo kujua nani mmiliki wake,anakaa wapi ana kazi gani na ana uhusiano gani na TISS. Nina hakika akipatikana mwenye gari hilo basi waliotaka kumwangamiza Tundu Lissu nao watapatikana.
Kazi kwako Kamanda Sirro if and only if you mean serious about this business.
Nje ya hayo IGP Sirro anaenda kuwa IGP ZIRO(0).
Msaliti hawezi kuwa kipaumbele ...Taifa lina mambo mengi ya kuyashughulikia ambayo yanaleta TIJA... why spent time and shilings kwa ajili ya MSALITI...
Yoyote yule wanaemtilia mashakakwahyo kazi yao ni kumfuatilia lisu ila sio chenge na mkapa walioingiza taifa hili kwenye hasara!!
kwahyo TISS ni professionals sana?? kma ni professionals mbona almas zimeibwa kwa nusu karne hawakuzuia?? mbona twiga walisafirishwa hawakuzuia.? makinikia je???TISS gani hao ambao wanatumia NAMBA hizo hizo za gari MOJA Kila siku?
Na AINA MOJA kila wakati katika KAZI yao? Kwani wao wangali NI WANAFUNZI?
Huo ni UVUMI na uongo mkubwa.
Professionals hawafanyi kazi namna hiyo. Eti mpaka KILA MTU analijua gari na KUKARIRI namba zao wakiwa katika SURVEILLANCE?
Huo ni uongo mkubwa.
Hao ni ni WAHUNI na wahalifu TU.
Period!
sasa mara ngapi wanamkamata kma ana hatia si angekuwa ameshafungwa ssa kwanini wamuue?? kma walikuwa kazini si wajitokeze polisi wakiri alitaka kuuawa na TISS kwa sababu ni mhalifu!! kipi kigumu
Hata kama mtu si security expert ama consultant kama ulivyosema. Hata basics tuunaweza kujua uongo na ukweli.kwahyo TISS ni professionals sana?? kma ni professionals mbona almas zimeibwa kwa nusu karne hawakuzuia?? mbona twiga walisafirishwa hawakuzuia.? makinikia je???
hii nchi bhana kila mtu anageuka security expert consultant
Tupishe tafadhali..Hao walilipoti polisi hayo yote uliyoandika juu yao? Embu weka na namba za mashitaka yaobkwanza then tuendelee.. hata ya Lissu weka. Hao wote wahojiwe hadi wajue kuacha kudandia mengine na kusingizia wengine.. watahojiwa tu.. sio kukimbilia kutaka kuficha wanayojua.
Dereva anasakwa sasa hivi kaambiwa ajitokeze kuhojiwa.. so subiri uone aibu itakavyowapata wengi wadaku na wanaopenda kusingizia serikali na Raisi wetu mpendwa juu ya kila kitu.
Anayekulala ana Kazi kuliko askari Jela!!Hao walilipoti polisi hayo yote uliyoandika juu yao? Embu weka na namba za mashitaka yaobkwanza then tuendelee.. hata ya Lissu weka. Hao wote wahojiwe hadi wajue kuacha kudandia mengine na kusingizia wengine.. watahojiwa tu.. sio kukimbilia kutaka kuficha wanayojua.
Dereva anasakwa sasa hivi kaambiwa ajitokeze kuhojiwa.. so subiri uone aibu itakavyowapata wengi wadaku na wanaopenda kusingizia serikali na Raisi wetu mpendwa juu ya kila kitu.
Rais yeye IGP yeye waziri yeye bunge yeye mahakama yeye..
Mnategemea kuwa na IGP gani zaidi?...
I think i could be IGP...