Polisi Tanzania: Hatutegemei kuona sherehe za Pasaka wakati Nchi bado ipo kwenye maombolezo

Polisi Tanzania: Hatutegemei kuona sherehe za Pasaka wakati Nchi bado ipo kwenye maombolezo

Hamnazo hawa jeshi la police Yani tusisherekee kufufuka kwa nwokozi wetu kisa watu ambao hawako duniani?
Jeshi kuweni serious acheni kuingilia Imani zetu
Shida Sana.Ule Uhuru wa kuabudu uko wapi sasa??.
 
Naipongeza serekali kwa kuzuia japokua wameweka kwa mgongo wa Maombolezo lakin pia ni kuunga juhud za kupambana na corona Kama yanavyo fanya mataifa mengine maana imekua ni matamanio ya vyama vya upinzani pia kuzuia mikusanyiko, kwakua chama tawala imeshindwa kuwajibika ipasavyo katika hilo,, hivyo naamini sisi kama upinzan tumeunga hoja mkono
 
Wale team Gang bado wana chokochoko. Ukisikiliza hata hotuba ya makamu imejaa sumu tu kuwakamua wanannchi.
Hawa jama wanafurahi sana wananchi wakiumia, na mama aliamua makusudi kuijibu ili ikawe sawa kuondoa misumu isiyo ya lazima kutoka kwa mpango.
Mpaka watakaposafishwa kwenye serikali hii ndiponchi itatulia.
Kusema kweli nawaombea tu mama awatumbue.
Wanamwaribia mama wa watu.
 
Haaahaaa!!waoneeee kwanza,yaaani niache kusherekea sikukuu ya shujaa alieshinda kifo na kaburi..nikae kuomboleza kwa mtu ambaye tayari keshafariki na kuzikwa kashazikwa.Mbona kama mnataka kutuletea pigo za kimizimu mizimu aseh
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sijui wale mbuzi nilioagiza na wageni kupewa mwaliko nitawapeleka wpi mjini hapa.
Ukichinja mbuzi nyumbani kwako ukaalika marafiki mkala na kunywa ni sawa. Shamrashamra zenu zitaishia ndani ya nyumba bila kuleta attention nje, mbona tunafungulia mziki mkubwa majumbani siku za kawaida na hakuna anayekuja kutuuliza?

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Mh.Rais samia suluhu awe makini sana na kukemea mambo haya.Taifa linaweza gawanyika maswala ya kidini ni hatari sana.Mtoa taarifa huyo wa jeshi la polisi achunguzwe dini yake na achukuliwe hatua.
 
Sawa ni kusali na kurudi nyumbani. Kwa sie wa uchumi wa chini tunafurahia kwakuwa imetepushia gharama na lawama nyingi za familia na ndugu.
 
Mimi Pasaka yangu ilishakuja mapema ila nitasherehekea Pasaka halafu nione hao Polisi jamii watanifanys nini.
 
Raisi wetu alikua mnyenyekevu na mwenye hofu ya Mungu, laiti wafu wangekua wanasema statement yake ingekua nimesikia PT wakisema hakuna kushangilia Pasaka ila mimi nasema shangilieni maana hapa duniani hayupo aliyemkuu zaidi ya Mungu na hata ni nani awakataze kusherehekea ufufuo wa Bwana Yesu? Bahati nzuri marehemu hawasemi hivyo tuzidi kuomboleza kwa Machungu, Rest in peace JPM
 
Back
Top Bottom