Polisi: Vijana wawili waliouawa Vingunguti, Dar ni Panyaroad

Hiyo bugarika na Igogo ni maeneo ya hatarish sanaa
 
Wahanga wa polisi au Panya road??
 
Hiyo bugarika na Igogo ni maeneo ya hatarish sanaa
Kuna igogo bugarika mabatini nyakato sokoni njoo mpaka temeke kuna mecco mitaa ya majanini mwananchi mtaa wa susuni mahina kuna sweya hiyo mitaa ina vibaka hatari sana
 
Kwa hiyo polisi haiwezi kukamata mhalifu bila kuua? Yaani vijana sita wenye mapanga imekua tabu kukamata au hawataki mambo za mahakamani! Very sad kuambiwa tu fulani panya road just like that afu unakula chuma!
Panya road shida umri na bangi vinawasumbua
 
Nature ya Jeshi letu la Police wakija kukukamata ukiwa na silaha yoyote hata jiwe tu, wanakuua kwanza.
Wakishakuua ndo wanakukamata[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanakupeleka Mochwari
 
Kuna igogo bugarika mabatini nyakato sokoni njoo mpaka temeke kuna mecco mitaa ya majanini mwananchi mtaa wa susuni mahina kuna sweya hiyo mitaa ina vibaka hatari sana
[/QUOTE Angalau Igoma imetulia kidogo
 
Mbon taarifa ya mwanzo inasema walifuatwa majumbani mwao.
Tumuamini nani?
 
ngojea panya road wakuvamie hapo kwako wambake mke na watoto wako ndio ulete huo upumbavu wako wa sheria, umeambiwa walikataa kujisalimisha, wakaanzisha mapambano, ulitaka wakamatweje? pumbavu
 
Kwa hiyo polisi haiwezi kukamata mhalifu bila kuua? Yaani vijana sita wenye mapanga imekua tabu kukamata au hawataki mambo za mahakamani! Very sad kuambiwa tu fulani panya road just like that afu unakula chuma!
unawezaje kumkamata mtu mwenye panga ansetaka kukushambulia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…