Polisi: Vijana wawili waliouawa Vingunguti, Dar ni Panyaroad

Haiingii akilini Polisi from nowhere wapige tu watu risasi tena Vingunguti! Kwa hili wanastahili pongezi otherwise watalaumiwa tena kwa kushindwa kuwadhibiti hao nguruwe pori!
Kwa hiyo kazi za polisi ni kupiga wahalifu risasi?
 
Sisi wananchi tulioumizwa sana na vitendo vya hawa wahalifu tumewaelewa sana Jeshi la Polisi. Kongole nyingi kwao.
 
Utakuwa panya road wewe.
Kwani hao panya road siyo wananchi? Mbona wanajichukulia sheria mkononi na hajalalamika? Acha kujitetea acha uhalifu vinginenyo utafanyiwa unachowafanyia wasio na hatia.
 
Hahaaaaa hilo ukikitana nalo limeshika panga mzee, namkabidhi Fedha na Simu. Uhai ni muhimu kuliko Pesa na Mali za duniani.
Utakabidhi vyote ulivyo navyo halafu suddenly unaulizwa mbona huna milioni mfukoni? Kabla hujajibu panga la utosi! Hayo maumbwa yasikie tu!
 
Utakuwa panya road wewe.
Kwani hao panya road siyo wananchi? Mbona wanajichukulia sheria mkononi na hajalalamika? Acha kujitetea acha uhalifu vinginenyo utafanyiwa unachowafanyia wasio na hatia.
Kwa hiyo uhalifu utaisha kwa kuua ? Hiyo ni kutengeneza magenge sugu
 
Tatizo watu wanajizalia ovyo kulea haiwahusu! Family planning ni muhimu sana kupunguza hizi takataka! Tunapokuwa na wazazi irresponsible matokeo ndio hayo!
Usiite watoto wa wenzio takataka... Huna uhakika wako watakua vipi irregardless unakua responsible vipi
 
Kwa hiyo polisi haiwezi kukamata mhalifu bila kuua? Yaani vijana sita wenye mapanga imekua tabu kukamata au hawataki mambo za mahakamani! Very sad kuambiwa tu fulani panya road just like that afu unakula chuma

skiliza mkuu huna unachojua kuhusu mitaa au pengine unajua ila umeamua t kua kichwa ngumu..
hao watoto hawaogopi chchte zaid ya bunduki tu..
zikilia chuma kama ivo mnakaa milango wazi ata mwaka mzima mpaka wasahau kilichotokea wanapotea wote..
panya road haogopi jela wala polisi watakutieni vidole mpaka vya pua.
hao watoto wanaogopa kabuli tu basi.
 
Utii wa sheria bila shuruti...!

Wangetii bila shurutii wasingepigwa risasi, Sasa polisi wangefanyaje Kama waliamriwa kujisalimisha wakakataa?!
Na wana silaha baridi Kama mapanga?!

Au mlitaka polisi waende wakakatwe katwe mapanga Kama mishikaki, polisi hawezi kukupiga risasi Kama umetii sheria kwa kujisalimisha,

Tii sheria bila shuruti...!
 
Mob justice imeruhusiwa ?

What the meaning of law.

Matumizi ya nguvu bila akili ni hatari.
 
Wewe utakuwa wa kishua hao madogo wanastahili chuma maana hawafai kuishi
 
Mimi huku kwa ndugu yangu huko ni mbali sana hata awe mwanangu ntaomba police wanipe chuma nimtoe uhai Mimi mwenyewe
 
Hizo porojo zako zitakuisha siku ukibahatika kupita vingunguti koloni kuanzia saa Tano usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…