Polisi wadaiwa kushambulia na kusababisha kifo Tarime

Mimi nimedhurumiwa mtoto na mke nimenyanyang'wa na maahari nililipa yote bila kudaiwa hata senti kumi. Huwa nawaza kufata mwanangu lakini nafsi hugoma kabisa. Sasa ana miaka saba. Huwa wazo linanijia kuwa kama wameweza kunidhurumu vyote hivo watashindwa kunipigia nduru kwa majilani zao kuwa mm mtejaji wa watoto! Kwa kweli kuna jamii sio za kuoa kabisa. Na nasikia michezo yao ni binti anaolewa analipiwa mahari then anaharibu maksudi anachika na kuolewa tena na kulipiwa mahari nyingine.

Nimeamua nimwachie mola. Nilikuwa nimemfungukia mtoto bima ya afya toka akiwa mdogo ila kwa kuwa sasa ana miaka saba ninampango wa kuifunga rasmi ili sasa nao wapambane kivyao.

Kwa jinsi dunia ilivyobadilika ni bora kusamehe na kuanza upya kuliko kujifanya ninauchungu sn na mwanangu alafu yanikute ya huyo jamaa yako

Pole kwa kumpoteza rafiki. Amekufa akiwa anapambania haki yake. Wanaodhihaki ni vile hayawakuta
 
Jamaa anadai mkewe aende nae utasema ni mbuzi yake.
Wakati mwanamke amekwishasema hataki.

Kaanza kudai mahari, anadai mahari hali ya kuwa kamtumia mwanamke na kamzalisha.

Kakosa mahari kachukua mtoto wa mtu kama mfugo kupeleka anapokujua.

Matatizo ya Afya ya akili yapo.
 
Kwa lugha aliyoitumia huyo bwana kuandika ni kama rafikiye kaonewa ila ukiangalia ni kama jamaa hakufikiri ama lah hakua na ufahamu wake (labda alitumia kilevi).
 
Baadhi ya wakurya wana ubabe wa kipumbavu. Yaani unamlazimisha mwanamke Urudi nae nyumbani, amekuwa ng'ombe.
 
Ni mwanaume mijinga anayepoteza mke akaona Mahali ndio inathamani zaidi.
Mambo ya vijijini ya kizamani na ya kipuuzi yaliyopitwa na wakati, huko ndipo kuna baadhi ya mataahira bado yanakeketa wanawake.

Anakuambia mila za kiafrika, mila zingine ni upuuzi na kukosa elimu, ni bora kuziacha.
 
Wewe bado ni mshamba.
Utalazimisha vipi mwanamke? Kasema hataki utalazimisha? Huo si uanaume ni u$enge na utaahira.

Nitolee upuuzi wako.
Sheria za kuvunja ndoa zipo wazi Kwa Mwanamke:
1. Ndoa inahatarisha maisha yake.
2.hapati tendo la ndoa
3.Hapati huduma za msingi.

Hayo yote yanatakiwa yathibitike mahakamani na sio wewe kuamua tu kwenda kujikalia nyumbani ,wakati huo huo wazazai wako ndio mahakimu na watetezi wako, it's not fair....Ingekuwa kienyeji hivyo watu wasingeenda mahakamani kudai talaka
 
Sasa hapa si mahakamani, ingepaswa na huyo mwanamke atoe maelezo kwanini hataki kurudi kwa jamaa. Lazima usikilize pande zote.

Hata kama hakuwa na sababu, hakupaswa kulazimishwa kurudi nyumbani.
 
Sasa hapa si mahakamani, ingepaswa na huyo mwanamke atoe maelezo kwanini hataki kurudi kwa jamaa. Lazima usikilize pande zote.

Hata kama hakuwa na sababu, hakupaswa kulazimishwa kurudi nyumbani.
Yeye mwanamke Ndo alitakiwa akavunje ndoa mahakamani ili akakae home kihalali, Mahakama ikiona mwanamke hana sababu za msingi kisheria, inakataa ndoa kuvunjwa, ikiona ni sawa inavunja..Huwezi kukaa home kienyeji. KwanzA wewe unaonekana mwanamke wa kizaramu Ndo mana mnaachana kifala na ndio mana wengi wenu ni masingo Maza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…