Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

Elezea kwa kina taarifa yako ni njema sana ndugu,tupe dondoo nasi tutaona jinsi ya kufanya!...
Kuna dada anaongoza genge la uhalifu na ukwepaji Kodi, ana kesi 7 za jinai, 4 za civil na zingine za Regulatory Authorities, yeye anasema hapa hakuna jinai ni madai tu nenda Mahakamani. Yule inaonekana ana hongwa na kula rushwa.
 
Na nyie madaktari akikisheni na polisi kadhaa wanalazwa ICU mnajua cha kufanya haiwezekani jeshi la polisi linaonea kila mtu.
 
Endelea kujifunza, bado hujui vitu...
 
Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?😭😭😭🙆🏿‍♂
 
Waende kwenye dispensari zao.
 
Taarifa rasmi iliyotolewa ni wananchi wenye hasira kali ndiyo wamefanya hivyo na sio Polisi kama ambavyo wewe unadai. Tujifunzi kuwa tunasikiliza na kuangalia TBC ambapo ndipo kuna Ukweli na uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…