Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

Ndiyo maana teuzi zipo kiukoo zaidi na siyo kiutendaji
Hatari sana kwa kweli.

wale Mungu atakaowajalia Umri mrefu wa kuishi walau kufika 2055, wajiandae kuulizwa maswali mengi na vijana wa miaka hiyo.

Maana itaonekana ni kama Nchi nzima haikuwa na watu wenye uwezo wa kuhoji wakati haya mabaya yakifanyika πŸ™Œ
 
Mi ntakuwepo na nitawaongoza vijana kuyachapa makaburi ya vijana wote wa miaka hiii
 
Mi ntakuwepo na nitawaongoza vijana kuyachapa makaburi ya vijana wote wa miaka hiii
Mungu akusaidie, InshaAllah πŸ™

Ila tafadhali, utaniombea Msamaha kwa hao Vijana, kwamba Mkataba sikuupenda na kuonesha kutokubaliana nao tuliandika maoni yetu hapa JamiiForums hivyo msije kuchapa bakora kabuli langu nitakapokuwa nimelala usingizi wa milele πŸ€—
 
Ngorongoro ni hifadhi ya kidunia kwa sasa si ya Tanzania pekee.

Waliohamia humo ndani kuishi na wanyama, wote wanaondolewa na wameshapewa sehemu zingine za kuishi.

Lussu anataka kwenda kuhutubia fisi? Si akahutubie kwao kwenye mafisi wengi.
 
Ndo maana tunaambiwa Roliondo na Ngorongoro zimeuzwa ni mali ya waarabu. Huwezi ukaingia kufanya mikutano ya kisiasa nchi ya watu
 
Tatizo la hifadhini ni kwamba huwezi kuingia mpaka upate kibali (permit) kutoka NCAA.

Kwahiyo Lissu hataweza kuingia bila permit.
 
Ndoto na sala za wavuta bangi.
 
KWANINI NGORONGORO AKATAZWE KUFANYA MIKUTANO KUNA NINI ?
AU KUNA CORONA ?
 
Loliondo nako ni kitalu cha kuwinda, nani alimwambia waliokodisha hicho kitalu na wageni wao wanaokuja kuwinda kuwa wanataka siasa?

Huyo mwehu anatafuta kiki kijinga.
Unatoa Jibu tofauti na Polisi, unamwakilisha nani? IBARA 4 (2) ya mkataba huu wa Kimangungo inasema Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Tukaombe idhini Dubai kwa Mali zetu? Yaani Sasa hata kupita Ngorongoro tukaombe idhini Dubai? Huu ujinga ubaki CCM na Dubai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…