ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Mkuu mbona rais Dkt Samia alishasema akina lisu waachwe wafanye mikutano. Yeye rais anajua kabisa mbowe hana kazi, lisu jobless, lema ndiyo kabisa hana kazi wala hana ujuzi alipata zero akawa jambazi haajiriki, na kumbuka hela za ruzuku huwezi tumia bila activity ndiyo maana wanatengeneza activity kama visafari vya mikutano uchwara ili wapate perdiem hahahahaNdoto na sala za wavuta bangi.
Sema hifadhi ya Dubai ya Wajomba zake Rais wa sasa wa Tanzania.Ngorongoro ni hifadhi ya kidunia kwa sasa si ya Tanzania pekee.
Waliohamia humo ndani kuishi na wanyama, wote wanaondolewa na wameshapewa sehemu zingine za kuishi.
Lussu anataka kwenda kuhutubia fisi? Si akahutubie kwao kwenye mafisi wengi.
Hata wapumbavu huzeekaNgorongoro ni hifadhi ya kidunia kwa sasa si ya Tanzania pekee.
Waliohamia humo ndani kuishi na wanyama, wote wanaondolewa na wameshapewa sehemu zingine za kuishi.
Lussu anataka kwenda kuhutubia fisi? Si akahutubie kwao kwenye mafisi wengi.
Mwehu ila amekuzudi Kila kitu unamjua hakujuiLoliondo nako ni kitalu cha kuwinda, nani alimwambia waliokodisha hicho kitalu na wageni wao wanaokuja kuwinda kuwa wanataka siasa?
Huyo mwehu anatafuta kiki kijinga.
Umeguswa kwenye mstari wa Ikweta.Loliondo nako ni kitalu cha kuwinda, nani alimwambia waliokodisha hicho kitalu na wageni wao wanaokuja kuwinda kuwa wanataka siasa?
Huyo mwehu anatafuta kiki kijinga.
Inasikitisha kwa kweli.Unatoa Jibu tofauti na Polisi, unamwakilisha nani? IBARA 4 (2) ya mkataba huu wa Kimangungo inasema Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Tukaombe idhini Dubai kwa Mali zetu? Yaani Sasa hata kupita Ngorongoro tukaombe idhini Dubai? Huu ujinga ubaki CCM na Dubai.
Lussu ni mwehu asiye na sera, hajuwi aelekee wapi, anadandia kila basi.Unatoa Jibu tofauti na Polisi, unamwakilisha nani? IBARA 4 (2) ya mkataba huu wa Kimangungo inasema Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Tukaombe idhini Dubai kwa Mali zetu? Yaani Sasa hata kupita Ngorongoro tukaombe idhini Dubai? Huu ujinga ubaki CCM na Dubai.
Lakini kwa Lissu atagonga mwambaHuyu Mama ni hatari sana.
Sasa si tuacheni tufanye mikutano ya hadhara kwenye nchi yetu ?Lussu ni mwehu asiye na sera, hajuwi aelekee wapi, anadandia kila basi.
Na wewe nae, mada ngorongoro wewe upo bandarini.
Bandari ndiyo sahau, juzi imetangazwa tenda, kama unaweza kafanye kazi, la huwezi, tulia.
Huu ndiyo ujinga wa Kitanzania.
Unatetea diniLussu ni mwehu asiye na sera, hajuwi aelekee wapi, anadandia kila basi.
Na wewe nae, mada ngorongoro wewe upo bandarini.
Bandari ndiyo sahau, juzi imetangazwa tenda, kama unaweza kafanye kazi, la huwezi, tulia.
Huu ndiyo ujinga wa Kitanzania.
Nyie mgusane hukohuko mnakofundishana na wale wazee maarufu kwa mambo hayo. Mpaka umoja wa Mataifa inawajuwa kama inavyoijuwa Ngorongoro. Unataka ushahidi?Umeguswa kwenye mstari wa Ikweta.
Kama kwenu Zanzibar ambako hata baadhi ya maaskari wa kiume wanaenjoy hayo mambo.Nyie mgusane hukohuko mnakofundishana na wale wazee maarufu ka mambo hayo. Mpaka umoja wa Mataifa inawajuwa kama inavyoijuwa Ngorongoro. Unataka ushahidi?
Nafahamu sana, kwenu kawaida kuguswa guswa na kuchezewa huko "ikweta", kwetu hata mikono hatugusani kijinga. Kumbuka hilo.
Huyo mwehu kuna habari zake tunazo, kuwa kishaanza kumkorofisha Mbowe, anadai na yeye mgao wake kwa nguvu.
Mbowe kasema hataki kuonana nae kabisa, jiulize kwanini? Huyo ukimuona alipo Mbowe ujuwe kajipeleka tu.
kwahiyo akitaka kwenda kama mtalii ataruhusiwa ila sio kama mwanasiasa ausio? na waliokataa asiingie ni polisi sio watu wa hifadhi labda kama taarifa haijatoka jeshi la polisi.Tatizo la hifadhini ni kwamba huwezi kuingia mpaka upate kibali (permit) kutoka NCAA.
Kwahiyo Lissu hataweza kuingia bila permit.
Maudhui makuu ya haja yako ni;Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho!
Tundu Lissu
Mtandao wa X
Tunapenda kukufahamisha kuwa barua yako tajwa tumeipokea ikiwa na maudhui ya kufanya vikao vya ndani na mikutano ya hadhara maeneo ya kata 3 zizopo tarafa ya Loliondo na kata 3 zilizopo tarafa ya Ngorongoro.
Hata hivyo tarafa ya Ngorongoro ni eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro na kwamba kuingia na kutoka eneo hilo ni sharti kufuata taratibu zinazosimamia eneo hilo (kupata kiball kutoka Mamlaka ya Ngorongoro).
Aidha kwa upande wa tarafa ya Loliondo kulingana na tarifa mbaimbali tulizo nazo haziruhusu kufanya shughuli za kisiasa hasa mikutano ya hadhara.
Kutokana na sababu hizo hapo juu, tunaelekeza kwamba usitishe mikutano hiyo kwa sasa hadi wakati mwingine ambao utakuwa mwafaka kwa ustawi wa amani na utulivu wa wilaya yetu.
Jaman c kila jambo ni siasa mmasai hafai pale atoke ili kulinda hifadhi.ni hili mkakati haujanza leo ni wa mda mwng tangia brather benSema hifadhi ya Dubai ya Wajomba zake Rais wa sasa wa Tanzania.
Bwashe mtu mwenye uthubutu wa namna unamwitaje kidume sasa?! Huyo ni dume.🤣🤣🤣😀😀😂🔥
Shujaa Magufuli alimzuia Tundu Lisu kufanya mkutano Kibaha lakini Kidume Antipas kilienda na Mkutano alifanya 😀😀🐼🌟
✍️Wachawi (mawakala wa shetani) hutenda kazi zao za kichawi ili kutimiza makusudi yao maovu kwa kutumia njia tatu ambazo ni;Kama Ujumbe wa EU ulikataliwa sina hakika kama Mhe. Lissu na Chama chake wakakubaliwa kwenda huko Ngorongoro.
Inaonekana kuna mambo Serikali inajaribu kuyaficha wasijulikane.
Ndiyo maana hata Mbunge wao nilisoma hapa JamiiForums kuwa alitoweka asijulikane alipo kwa muda wa siku kadhaa.
I smell fishy