Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'

Siku hizi kiwango cha mmomonyoko wa mapenzi kiko juu sana kiasi kwamba wanawake ndio wanatakiwa kugombania mwanamme.
Polisi fanyeni kazi yenu haki itendeke. Tunawaamini.
 
Siyo usalama, ni kibaka tu wa kawaida, anayetamani vyeo visivyo kuwa vyake na anafanya kazi TRA. Hajawahi kwenda kozi hata ya siku moja ya usalma wa Taifa. Mpuuzi tu aliyelewa akaamua kuchukua sheria mkononi kisa malaya wa Massaki.

Pia ana ukaribu na IGP wa sasa Camillius Wambura ( Mjomba wake), hivyo apuuzwe sio mtu wa kitengo.
 
Shukurani ziende kwa Milki wa Baa aliyeweka CCTV camera! Vinginevyo hiyo ilikuwa imetoka.
 
Mkuu umesomeka! hujawahi kutuangusha. Over
 
Najiuliza hivi wanaoaga mapema kwa nini kama hawajamaliza kula ujana?imagine mke wa ndoa anamaumivu kiasi gani baada ya kuona video hiyo?kwa taswira hiyo tu ya muda mfupi inaoneka hata mkewe huko home anavumilia mengi anapigwa matukio si haba ..kuna ndoa wanawake wanapitia changamoto na machungu ni vile tu kuta zinaficha mengi..imagine huyo ni mume wa mtu wa ndoa kabisa ya kanisani anafanya usaliti wa namna hiyo kugombea malaya club ..aina hii ya wanaume ndo wanaoleta malaya kwenye vitanda wanavyolala na wake zao...Shameless kabisa
 
Vetting mnazofanya kwa hawa vijana matokeo yake ndio haya sasa, chukua chukua tu kwenye vitengo makada, watoto wa makada na kamlete wengine matokeo yake ndio haya.

Afisa usalama aliyeiva hawezi kuwa mjinga kiasi hiki.
 
Okay...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…