issa yurry
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 626
- 818
Bado mapema kuingiza Tanzania bara barani kwani tukiingia mapema mutahairisha uchaguzi ili mukajipange tenaKuanzia saa nane mpaka usiku? Nafikiri kama akili zake zinafanya kazi,atakuwa amegundua kuwa swala la kuwaingiza watz barabarani haliwezi kuwa jepesi kama alivyokuwa analichukulia.
Kwa uelewa wako kwa case ya Leo kulikuwa na urazima wa kuingia barabarani?Kuanzia saa nane mpaka usiku? Nafikiri kama akili zake zinafanya kazi,atakuwa amegundua kuwa swala la kuwaingiza watz barabarani haliwezi kuwa jepesi kama alivyokuwa analichukulia.
Biti la kukesha leo limeishia wapi?? Kama kukesha tu mmeshindwa hilo mtaweza??Sisi tuandhibiti nyau asinyankue mboga kiharamu
kazi yake ni siasa na katika kazi yake hiyo hizo ndio changamoto, haya na wewe twambie kazi yako ni nini na changamoto za kazi yako ni zipi?Pole zake watz siyo wa mchezo mchezo leo wamemwache pale Kiluvya pekee yake na kikundi chake masaa zaidi ya 9 amepigwa na jua na mbu. Nafikiri atakuwa amewatambua vizuri na bado tarehe 28/10/2020.
Ikitakiwa muandamane muende mkapitishe kwa nguvu badala ya kukesha anapigwa na jua pale.Kwa uelewa wako kwa case ya Leo kulikuwa na urazima wa kuingia barabarani?
Au waingie barabarani kwa sababu gani?
Wewe ulitaka waingie barabarani ili iwe mini na je wameambiwa na kipngozi wao waingie barabarani ikiwa lipi likitokea?
Wewe ukitaka wafanyaje?Sasa nikiona bavicha yeyote anataoa mkwara humu wakati Lisu kashikiliwa na polisi masaa 8 njiani mpaka wameamua kumuachia kwa hiyari yao wenyewe, hakika ntamuona bavicha huyo ni kopo kabisa.
Nilikuwa rusumo kuhakikisha wakimbizi wote haramu wanarudi kwao baada ya uchaguzi mkuu na mh Lissu kuapishwa kuwa rais wa JMTVipi ulienda kukinukisha?
Ccm ilishajifia masikiniPromo gani ni wapumnavu walwale amabo kila siku mpo nae ndo mnaongezeka, lakini mtu na akiri yake hana mda nae.
Cha kukuumiza zaidi ni kwamba,yeye ndiye Rais tena 2020 Hadi 2025!Wachana na mgonjwa wa moyo huyo
Mkuu samahani nilifikiri na-urgue na critical thinker ila kwa majibu yako tu siwezi kuendeleza mjadala na wewe..Ikitakiwa muandamane muende mkapitishe kwa nguvu badala ya kukesha anapigwa na jua pale.
Nafikir mngefanya hivyo mngetisha sana
Kumbe ulikuwa hujamfahamu huyo?Mkuu samahani nilifikiri na-urgue na critical thinker ila kwa majibu yako tu siwezi kuendeleza mjadala na wewe..
# kumbuka Mimi sina Chama isipokuwa huwa nafuatilia mambo ya siasa kwa ukaribu na si za ndani tu hats za kimataifa.
Watumishi wale walio fanyiwa ukatili wa hali ya juu kwa kufukuzwa kazi na kuyakosa mafao yao kisa vyeti feki wakati kina Bashite wakiachiwa wafanye wayatakayo.Watumishi wote kura kwa lissu.
Mmeteswa sana miaka 5 bila kupata stahiki zenu!!
Tutahamaje sasa Wakati uhakika wa kushinda ni 90%Mtahama nyinyi wakimbizi kutoka Burundi
Labda kushinda njaaTutahamaje sasa Wakati uhakika wa kushinda ni 90%
Upinzani wa bongo|Tanzania bwana!.
Ukiachiwa huru|ukipewa haki yako uongozi unakua umelegea..Haha.
Sawa,Endeleeni kuvunja sheria tu kwa kutafuta political violence.
Itafika mahali itabidi kila mtu mwenye madaraka atimize wajibu wake ipasavyo.
Ndio ..siko familiar na member wengi humu ..wengine nawafahamu kwenye topic kama hizi kwa hisia na mihemko. But unfortunately Mimi huwa napenda mijadala iliyonyooka sipendi kutanguliza hisia na mapenzi katika hoja zangu.Kumbe ulikuwa hujamfahamu huyo?
Wewe ndo unawasemea? Kwani Hawana kisemeo?Watumishi wale walio fanyiwa ukatili wa hali ya juu kwa kufukuzwa kazi na kuyakosa mafao yao kisa vyeti feki wakati kina Bashite wakiachiwa wafanye wayatakayo.