Uchaguzi 2020 Polisi waondoa kizuizi alichowekewa Tundu Lissu Kiluvya. Asema anaendelea na safari yake

Uchaguzi 2020 Polisi waondoa kizuizi alichowekewa Tundu Lissu Kiluvya. Asema anaendelea na safari yake

Kuanzia saa nane mpaka usiku? Nafikiri kama akili zake zinafanya kazi,atakuwa amegundua kuwa swala la kuwaingiza watz barabarani haliwezi kuwa jepesi kama alivyokuwa analichukulia.
Bado mapema kuingiza Tanzania bara barani kwani tukiingia mapema mutahairisha uchaguzi ili mukajipange tena

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kuanzia saa nane mpaka usiku? Nafikiri kama akili zake zinafanya kazi,atakuwa amegundua kuwa swala la kuwaingiza watz barabarani haliwezi kuwa jepesi kama alivyokuwa analichukulia.
Kwa uelewa wako kwa case ya Leo kulikuwa na urazima wa kuingia barabarani?
Au waingie barabarani kwa sababu gani?
Wewe ulitaka waingie barabarani ili iwe mini na je wameambiwa na kipngozi wao waingie barabarani ikiwa lipi likitokea?
 
Pole zake watz siyo wa mchezo mchezo leo wamemwache pale Kiluvya pekee yake na kikundi chake masaa zaidi ya 9 amepigwa na jua na mbu. Nafikiri atakuwa amewatambua vizuri na bado tarehe 28/10/2020.
kazi yake ni siasa na katika kazi yake hiyo hizo ndio changamoto, haya na wewe twambie kazi yako ni nini na changamoto za kazi yako ni zipi?
 
Kwa uelewa wako kwa case ya Leo kulikuwa na urazima wa kuingia barabarani?
Au waingie barabarani kwa sababu gani?
Wewe ulitaka waingie barabarani ili iwe mini na je wameambiwa na kipngozi wao waingie barabarani ikiwa lipi likitokea?
Ikitakiwa muandamane muende mkapitishe kwa nguvu badala ya kukesha anapigwa na jua pale.

Nafikir mngefanya hivyo mngetisha sana
 
Sasa nikiona bavicha yeyote anataoa mkwara humu wakati Lisu kashikiliwa na polisi masaa 8 njiani mpaka wameamua kumuachia kwa hiyari yao wenyewe, hakika ntamuona bavicha huyo ni kopo kabisa.
Wewe ukitaka wafanyaje?

Kwani Lissu kashikiliwa au kazuiwa ?
 
Ikitakiwa muandamane muende mkapitishe kwa nguvu badala ya kukesha anapigwa na jua pale.

Nafikir mngefanya hivyo mngetisha sana
Mkuu samahani nilifikiri na-urgue na critical thinker ila kwa majibu yako tu siwezi kuendeleza mjadala na wewe..

# kumbuka Mimi sina Chama isipokuwa huwa nafuatilia mambo ya siasa kwa ukaribu na si za ndani tu hats za kimataifa.
 
Kumbe ulikuwa hujamfahamu huyo?
 
Watumishi wote kura kwa lissu.

Mmeteswa sana miaka 5 bila kupata stahiki zenu!!
Watumishi wale walio fanyiwa ukatili wa hali ya juu kwa kufukuzwa kazi na kuyakosa mafao yao kisa vyeti feki wakati kina Bashite wakiachiwa wafanye wayatakayo.
 
Inatakiwa kila mwenye madaraka atimize wajibu wake kwa sheria na haki ipasavyo kwa watu wote.
Upinzani wa bongo|Tanzania bwana!.

Ukiachiwa huru|ukipewa haki yako uongozi unakua umelegea..Haha.

Sawa,Endeleeni kuvunja sheria tu kwa kutafuta political violence.

Itafika mahali itabidi kila mtu mwenye madaraka atimize wajibu wake ipasavyo.
 
Kumbe ulikuwa hujamfahamu huyo?
Ndio ..siko familiar na member wengi humu ..wengine nawafahamu kwenye topic kama hizi kwa hisia na mihemko. But unfortunately Mimi huwa napenda mijadala iliyonyooka sipendi kutanguliza hisia na mapenzi katika hoja zangu.
 
Watumishi wale walio fanyiwa ukatili wa hali ya juu kwa kufukuzwa kazi na kuyakosa mafao yao kisa vyeti feki wakati kina Bashite wakiachiwa wafanye wayatakayo.
Wewe ndo unawasemea? Kwani Hawana kisemeo?
 
Polish wanatumika na cdm kuhuujumu Utawala huu uzidi kuchukiwa na wananchi kupitia matendo haya ya kuwanyanyasa wapinzani slow slow na bashiru shitukeni. Hapa lawama zinaenda kwa ccm ndo inaloose upinzani una gain
 
Back
Top Bottom