Uchaguzi 2020 Polisi waondoa kizuizi alichowekewa Tundu Lissu Kiluvya. Asema anaendelea na safari yake

Uchaguzi 2020 Polisi waondoa kizuizi alichowekewa Tundu Lissu Kiluvya. Asema anaendelea na safari yake

Upinzani wa bongo|Tanzania bwana!.

Ukiachiwa huru|ukipewa haki yako uongozi unakua umelegea..Haha.

Sawa,Endeleeni kuvunja sheria tu kwa kutafuta political violence.

Itafika mahali itabidi kila mtu mwenye madaraka atimize wajibu wake ipasavyo.
Madaraka yafaa tufuate sheria, sababu hakuna madaraka yasiyo fuata sheria usipofuata sheria ukiwa madarakani basi utakuwa unaleta uhuni, usitumie madaraka kukandamiza wengine bila kufuata sheria na taratibu, shida ni moja walio na madaraka hawataki fuata sheria ambazo wamezitunga wao wenyewe, hilo ndilo gonjwa kuu la viongozi wa afrika, na cha ajabu pana wapuuzi uunga mkono tabia hii, Mimi naamini ukiona mtu mpuuzi basi atatuletea kizazi cha kipuuzi pia, sababu embe halianguki mbali na mti wake.
 
Polish wanatumika na cdm kuhuujumu Utawala huu uzidi kuchukiwa na wananchi kupitia matendo haya ya kuwanyanyasa wapinzani slow slow na bashiru shitukeni. Hapa lawama zinaenda kwa ccm ndo inaloose upinzani una gain
CCM inaangamia kwa viongozi wake kukosa maarifa.
 
Askar wamesoma but wanajktoa ufahamu nalieelewa sana jwtz wako vizuri na wanajijenga day after day lakini kundi lile Mola saidia
 
Matiss na tbc walimdanganya Sana jamaa kwamba anakubalika Sana ameingia field amejionea mwenyewe,
 
polisi kiluvia1 (2).jpg
polisi kiluvia.jpg

Kama una akili unaweza kushindwa kuamini kwamba hizi picha ni za kweli na kwamba hawa polisi wako hapo kuhakikisha kuwa mgombea Urais Mh. Tundu Antiphas Lissu hasafiri kutoka eneo moja hadi jingine nchini Tanzania mpaka apate kibali cha polisi!​
 
H
Huku mnajua kubweka Sana,ila vitendo kwenye field ni zero,tunawajua na tuanishi na nyinyi mtakavyo.😂
Hehee wenye ujasiri mmefanya nini hadi sasa? Mmebana mmeachia. Huku mmeshachafuka. Makanja nja bwana!
 
View attachment 1592530View attachment 1592531
Kama una akili unaweza kushindwa kuamini kwamba hizi picha ni za kweli na kwamba hawa polisi wako hapo kuhakikisha kuwa mgombea Urais Mh. Tundu Antiphas Lissu hasafiri kutoka eneo moja hadi jingine nchini Tanzania mpaka apate kibali cha polisi!​
Jamaa kajipanga kama yuko Dafur.

Sikwambii askari vipenyo waliokuqa mitaa hiyo.
 
Binafsi naona hiki ndicho kinachotafutwa lengo ni kumfanya Lissu aishiwe uvumilivu afanye maamuzi magumu na ya hasira kisha wamkamte na wamuweke ndani au wapate sababu ya kumzui kugombea .

Kwahiyo, Lissu ajiandae kwa vitendo vingi vya kumchokoza na kumtia hasira na namshauri avumilie mpaka ahakikishe anapigiwa kura na wananchi na baada ya kupigwa kura ndio anaweza kuacha kuvumilia yasiyovumilika ila sio sasa.
 
Pole zake watz siyo wa mchezo mchezo leo wamemwache pale Kiluvya pekee yake na kikundi chake masaa zaidi ya 9 amepigwa na jua na mbu. Nafikiri atakuwa amewatambua vizuri na bado tarehe 28/10/2020.
Kitaeleweka tu.
 
wakiongozwa na viongozi wao na ma swahiba wao kama vile PO.........-TU........ neno HAKI hawataki tena kulizungumzia kabisa yaani wakisikia mtu analisema wanafura kwa hasira.

utasikia tutakushughulikia,huipeni familia yako wewe,umechoka kuishi? Yaani inasemekana kuna kamati ya amani ya wanaojiita viongozi wa dini ila kila siku utaskia jamani tuombeee amani ila NENO HAKI kamwe hawatalitaja,yaani ukisikia DARWIN THEORY kibongobongo ndo hii sasa haya yote yamewakuta hawa ndugu zetu ndani ya miaka 5.

Huwezi amini baba yao TANU alilipenda hii neno sana hata wao walivyokuwa wachanga walilitumia mno wakiyalaumu MAKABURU na MALOWEZI kwa kunyima HAKI na pia walilaumu sana kitendo cha mandela KUFUNGWA KWA KESI YA KUBUMBA YA UCHOCHEZI alipoikuwa akidai UHURU,HAKI NA MAENDELEO.

KUNA WASIWASI MKUBWA HAWA JAMAA WAKIFANIKISHA MIPANGO YAO HARAMU HAPO OCTOBER 28 BASI NENO HAKI LITAPIGWA MARUFUKU NA KUFUTWA KWENYE KAMUSI.

usishangae sana kuna wakati t-shirts za PRAY FOR TUNDU LISSU ilikuwa ni marufuku kuzivaa MUNGU AWAONDOLEE HAYA MAMTU ROHO ZA CHUKI,MAJIVUNO NA ROHO MBAYA ZA KUFURAHIA WA TZ WANAVYONYANYASWA KUTEKWA KUUULIWA NA KUKOSESHWA HAKI ILI KUMFURAHISHA MTU MMOJA AMBAYE CLEARLY HAWEZI SIASA ZA KUSHINDANA MAJUKWAANI,HISTORIA YAKE TANGU ANAVYOSHINDAGA UBUNGE NI KUPITA BILA KUPIGWA
 
Madaraka yafaa tufuate sheria, sababu hakuna madaraka yasiyo fuata sheria usipofuata sheria ukiwa madarakani basi utakuwa unaleta uhuni, usitumie madaraka kukandamiza wengine bila kufuata sheria na taratibu, shida ni moja walio na madaraka hawataki fuata sheria ambazo wamezitunga wao wenyewe, hilo ndilo gonjwa kuu la viongozi wa afrika, na cha ajabu pana wapuuzi uunga mkono tabia hii, Mimi naamini ukiona mtu mpuuzi basi atatuletea kizazi cha kipuuzi pia, sababu embe halianguki mbali na mti wake.
Ila Tundu Lissu ana spirit ya kipekee sana, sioni mwanasiasa kama wa kuvumilia kukalishwa hapo barabarani kwa kutwa nzima.
He is extraordinary
Lissu ameshinda!!! CDM tumeshinda!! Nuru imeshinda giza!! Jeshi la polisi wameamua kunyoosha mikono juu!! Wameamua kuondoka eneo la tukio muda huu!! Wameona mziki wa Lissu wataishia kukaa hapa mpaka tarehe kumi
!! Wamesepaaa!! Sasa ni Mwendo wa kwenda tunakotaka!
 
Watu kama Crimea na bint Lowassa ni watu wanaoishi kwa mashaka bila uhuru
Hawa ni watoto wa waliokua wapinzani fake
Baada ya kutishwa wamerudi CCM
Kwa Sasa simu zao na email zao zote zinadukuliwa
Wapo hapa kujipendekeza kwa jiwe ili Mali zao ziwe salama
Hawa ni watu wanyonge katika nchi yao wanajilazimisha kuandika pumba ili kumridhisha pombe
Poleni Sana kwa kua watumwa ndani ya nchi yenu

Wananchi wapi mkuu.?

Polisi wameona usiku huu Lisu anaweza kubondwa hata jiwe la kichwa tukaahirisha uchaguzi wakati sisi tunahamu ya kumla kwenye box la kura tarehe 28.

Hivi ile mikwara yenu huwa ya nini hasa? Maana Lisu kakalishwa masaa 8 hakuna hata nzi kasogea hapo
 
Baada ya mapema leo polisi kuzuia msafara wa Tundu Lissu eneo la Kiluvya, hatimae wameondoka na kuacha uendelee na safari na Lissu amesema ataendelea na safari yake kama ilivyopangwa na atakutana na wanachama usiku huu. Baada ya polisi kuondoka, Lissu ameongea yafuatayo.

LISSU: Nasikia hata siku moja imewashinda na wameondoka, sasa kwa sababu walikuwa wametuzuia na lengo letu lilikuwa kwenda kukutana na wanachama wetu Mlandizi, sasa tunaelekea Mlandizi, lazima twende Mlandizi na tumemwambia mheshimiwa mbunge wetu, Kinabo awaambie watu wake ambao walikuwa wanatusubiri tangu asubuhi kwamba, sasa tunaelekea Mlandizi kukutana na wanachama wetu..
Wanasheria wetu wengi wa Tz . Wangekuwa design ya Lissu tusingekuwa na u dictator huu . Lakini wengi waoga hawana misimamo daahh [emoji40]
 
Back
Top Bottom