Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kwa hiyo watz siku hiz hamuogopi tena Mabomu ya machozi ?Nadhani wameogopa nyomi ya watu kuanza kujaa,
Itabidi siku ya uchaguzi ccm wakodi polisi wa ziada ili kukabiliana na wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo watz siku hiz hamuogopi tena Mabomu ya machozi ?Nadhani wameogopa nyomi ya watu kuanza kujaa,
Madaraka yafaa tufuate sheria, sababu hakuna madaraka yasiyo fuata sheria usipofuata sheria ukiwa madarakani basi utakuwa unaleta uhuni, usitumie madaraka kukandamiza wengine bila kufuata sheria na taratibu, shida ni moja walio na madaraka hawataki fuata sheria ambazo wamezitunga wao wenyewe, hilo ndilo gonjwa kuu la viongozi wa afrika, na cha ajabu pana wapuuzi uunga mkono tabia hii, Mimi naamini ukiona mtu mpuuzi basi atatuletea kizazi cha kipuuzi pia, sababu embe halianguki mbali na mti wake.Upinzani wa bongo|Tanzania bwana!.
Ukiachiwa huru|ukipewa haki yako uongozi unakua umelegea..Haha.
Sawa,Endeleeni kuvunja sheria tu kwa kutafuta political violence.
Itafika mahali itabidi kila mtu mwenye madaraka atimize wajibu wake ipasavyo.
CCM inaangamia kwa viongozi wake kukosa maarifa.Polish wanatumika na cdm kuhuujumu Utawala huu uzidi kuchukiwa na wananchi kupitia matendo haya ya kuwanyanyasa wapinzani slow slow na bashiru shitukeni. Hapa lawama zinaenda kwa ccm ndo inaloose upinzani una gain
Ujaona nyamongo na kilombero polisi wanapiga mabomu na watu wanawatazama tu mbaya sana kwenye maisha kutegemea nguvu badala ya majadilianoKwa hiyo watz siku hiz hamuogopi tena Mabomu ya machozi ?
Itabidi siku ya uchaguzi ccm wakodi polisi wa ziada ili kukabiliana na wananchi
Asante sana Mungu jina lako lihimidiwe kwa kutuletea jiwe ili ccm ife imetutesa sana. Nchi sio chama nchi Ni katiba chama chochote chaweza kuongoza nchi.CCM inaangamia kwa viongozi wake kukosa maarifa.
Hehee wenye ujasiri mmefanya nini hadi sasa? Mmebana mmeachia. Huku mmeshachafuka. Makanja nja bwana!Huku mnajua kubweka Sana,ila vitendo kwenye field ni zero,tunawajua na tuanishi na nyinyi mtakavyo.😂
Jamaa kajipanga kama yuko Dafur.View attachment 1592530View attachment 1592531
Kama una akili unaweza kushindwa kuamini kwamba hizi picha ni za kweli na kwamba hawa polisi wako hapo kuhakikisha kuwa mgombea Urais Mh. Tundu Antiphas Lissu hasafiri kutoka eneo moja hadi jingine nchini Tanzania mpaka apate kibali cha polisi!
Kitaeleweka tu.Pole zake watz siyo wa mchezo mchezo leo wamemwache pale Kiluvya pekee yake na kikundi chake masaa zaidi ya 9 amepigwa na jua na mbu. Nafikiri atakuwa amewatambua vizuri na bado tarehe 28/10/2020.
Ila Tundu Lissu ana spirit ya kipekee sana, sioni mwanasiasa kama wa kuvumilia kukalishwa hapo barabarani kwa kutwa nzima.Madaraka yafaa tufuate sheria, sababu hakuna madaraka yasiyo fuata sheria usipofuata sheria ukiwa madarakani basi utakuwa unaleta uhuni, usitumie madaraka kukandamiza wengine bila kufuata sheria na taratibu, shida ni moja walio na madaraka hawataki fuata sheria ambazo wamezitunga wao wenyewe, hilo ndilo gonjwa kuu la viongozi wa afrika, na cha ajabu pana wapuuzi uunga mkono tabia hii, Mimi naamini ukiona mtu mpuuzi basi atatuletea kizazi cha kipuuzi pia, sababu embe halianguki mbali na mti wake.
Wananchi wapi mkuu.?
Polisi wameona usiku huu Lisu anaweza kubondwa hata jiwe la kichwa tukaahirisha uchaguzi wakati sisi tunahamu ya kumla kwenye box la kura tarehe 28.
Hivi ile mikwara yenu huwa ya nini hasa? Maana Lisu kakalishwa masaa 8 hakuna hata nzi kasogea hapo
Wanasheria wetu wengi wa Tz . Wangekuwa design ya Lissu tusingekuwa na u dictator huu . Lakini wengi waoga hawana misimamo daahh [emoji40]Baada ya mapema leo polisi kuzuia msafara wa Tundu Lissu eneo la Kiluvya, hatimae wameondoka na kuacha uendelee na safari na Lissu amesema ataendelea na safari yake kama ilivyopangwa na atakutana na wanachama usiku huu. Baada ya polisi kuondoka, Lissu ameongea yafuatayo.
LISSU: Nasikia hata siku moja imewashinda na wameondoka, sasa kwa sababu walikuwa wametuzuia na lengo letu lilikuwa kwenda kukutana na wanachama wetu Mlandizi, sasa tunaelekea Mlandizi, lazima twende Mlandizi na tumemwambia mheshimiwa mbunge wetu, Kinabo awaambie watu wake ambao walikuwa wanatusubiri tangu asubuhi kwamba, sasa tunaelekea Mlandizi kukutana na wanachama wetu..
Upuuzi mtupuUkimuuliza baba jeska kuhusu upinzani chini ya utawala wake hawezi kumsahau mwamba. Nafikiria baba jes akiwa amelala picha ya mwamba haitoki kwenye ndoto😂😂😂
Sema chama cha Mbowe, ndio inanoga vizuri.Mnaoteseka ni nyie au Chadema?