Polisi wasema wivu wa mapenzi chanzo mauaji ya watu 7 wa familia moja Kigoma

We bisha sasa, Wake zetu wasitulie wawape mle mfe.
Uzuri nanyi mnaishia jela...mi unakuwa umeniwahisha tu lakini mke anakuwa ameliwa tayari na kuliwa kwake ni tusi tosha kuwa wewe huwez kaz au umeoa mwanamke Malaya,nakufa nawe nakuachia shombo.๐Ÿ˜œ
 
That's first degree muders, anyongwe tu,si angemuua mgoni wake pekee! That must be mental illness!
 
Naona vigumu kuamini habari hii. Watu sita ndani ya nyumba wanauawa na mtu mmoja wakiwa wamelala pasipo mmojawao kuamka na kupiga kelele. Hii imekaaje? Isijekuwa kakiri kwa kuchelea kipigo cha mbwa koko alichoshushiwa. Tubgoje tuone mwisho wake.
 
Uzuri nanyi mnaishia jela...mi unakuwa umeniwahisha tu lakini mke anakuwa ameliwa tayari na kuliwa kwake ni tusi tosha kuwa wewe huwez kaz au umeoa mwanamke Malaya,nakufa nawe nakuachia shombo.[emoji12]
Daaah unacompare pgo la kuuwawa na la aibu, Aibu huisha maisha huendelea muulize konde boy
 
Naona vigumu kuamini habari hii. Watu sita ndani ya nyumba wanauawa na mtu mmoja wakiwa wamelala pasipo mmojawao kuamka na kupiga kelele. Hii imekaaje? Isijekuwa kakiri kwa kuchelea kipigo cha mbwa koko alichoshushiwa. Tubgoje tuone mwisho wake.
Polich Washenz sana, Me siwez kuamini hilo jambo kama lilivyotaarifiwa labda waboreshe hoja nitawaelewa. Ila kama kwel Mwamba kafanya kaz pekeake basi apewe kazi Special Force Watu Wasiojulikana.
 
Naona vigumu kuamini habari hii. Watu sita ndani ya nyumba wanauawa na mtu mmoja wakiwa wamelala pasipo mmojawao kuamka na kupiga kelele. Hii imekaaje? Isijekuwa kakiri kwa kuchelea kipigo cha mbwa koko alichoshushiwa. Tubgoje tuone mwisho wake.
Kuna mashaka hapa mkuu,hawa jamaa wanapenda matokeo ya haraka ili wakimbilie kwenye media kupata sifa
 
Huenda kuna sababu zingine au kuna watu walihusika kufanya mauaji.
Ndiyo maana tumemkamata mhusika ila bado tunaendelea na uchunguzi
Hivi huko kusema tunaenaendelea na uchunguzi wakati muhusika amekiri mwenyewe huwa wanachunguza nini hasaa? Wanampima kipimo kikubwa cha damu cha muuaji au?
 
Hivi kwanini ule mali ya mtu tena iliyotolewa mali pia? Uku kwetu anakufa mhusika pekee afu fresh tu wazee wa kijiji wanahalalisha tukio.
Hana akili sasa kafanya nini si bora angejiua na yeye, mijanamke ipo kibao uswahilini si angeachana nae na kujitafutia mwingine. Mijitu ya bara haina hekima, ustarabu wala busara
 
Hana akili sasa kafanya nini si bora angejiua na yeye, mijanamke ipo kibao uswahilini si angeachana nae na kujitafutia mwingine. Mijitu ya bara haina hekima, ustarabu wala busara
Mianamike ipo mingi ndiyo ila Mama watoto ni mmoja tu Mkuu.
 
Kama uko Bize mpelekee Mke wako Vibrator kama zawadi uone kama atatoka nje.
 
hata mimi hainiingii akilini, mtu mmoja kuua watu wote peke ake???bila wengine hata kupambana etc
 
Daaah unacompare pgo la kuuwawa na la aibu, Aibu huisha maisha huendelea muulize konde boy
Kovu huwa halifutiki mkuu,why alinicheat? Why? Mbona pesa ninayo na nilimpa? Why mwee,lakin kwann๐Ÿ˜œ
 
ุฅูู†ูŽู‘ุง ู„ูู„ูŽู‘ูฐู‡ู ูˆูŽุฅูู†ูŽู‘ุง ุฅูู„ูŽูŠู’ู‡ู ุฑูŽุงุฌูุนููˆู†ูŽโ€Ž
 
Ataozea jela huyo kenge
 
Hivi huko kusema tunaenaendelea na uchunguzi wakati muhusika amekiri mwenyewe huwa wanachunguza nini hasaa? Wanampima kipimo kikubwa cha damu cha muuaji au?
Wanachunguza kama kuna chanzo kingine tofauti na maelezo ya mtuhumiwa, labda huenda alitumwa au kuna alioshirikiana nao.
 
Hivi jamaa aliwezaje kuua watu wote hao peke yake?sijaielewa taarifa ya police
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ