Polisi yawachia kwa DHAMANA viongozi wakuu wa CHADEMA waliokamatwa akiwemo Heche

Fanyeni fujo, wizi na kuharibu vitu Kisha lawama pelekeni kwa Raisi kama yeye ndie aliefanya wapumbavu wakubwa . Ujinga wenu unasababisha ugumu wa usafiri na kupanda vitu bei.
Hujielewi pumbavu kabisa wewe, ujinga wa wananchi au watawala? Mitanzania ni mipumbavu tu kwa ujumla.
 
Sio tuu kuwaachia kwa dhamana wawaachie na waachane na uhuni wao wa mashtaka mchongo kama ilivyokuwa mazoea kwa machawa na chawa wa ccm dhidi ya Wazalendo wa taifa letu pendwa Tanganyika kwani Tanzania imevamiwa na wahuni kwa kivuli cha Tanzania hivi sasa na kipindi kirefu kwa manufaa binafsi ya wahuni!
 
Handshake ndiyo imeanza nini
 
Hujielewi pumbavu kabisa wewe, ujinga wa wananchi au watawala? Mitanzania ni mipumbavu tu kwa ujumla.
Watawala ndio walichoma mwendo Kasi
Hujielewi pumbavu kabisa wewe, ujinga wa wananchi au watawala? Mitanzania ni mipumbavu tu kwa ujumla.
Jifunzeni maandamano kutoka nchi nyengine, maandamano sio kuchoma Mali za umma na Mali binafsi.
 
We hukusikia Ugaidi? Terrorism ina dhamana?
Tanzania hakuna linaloshindikana ndugu yangu, Imagine wengine wanatoka vichakani sijui walijificha wapi wanakuja kusema video za mauaji ni za kutengeneza.
 
Fanyeni fujo, wizi na kuharibu vitu Kisha lawama pelekeni kwa Raisi kama yeye ndie aliefanya wapumbavu wakubwa . Ujinga wenu unasababisha ugumu wa usafiri na kupanda vitu bei.
We K nini! Kama hao manyang'au wenzio wangeamua kutenda haki, je haya yangetokea?
 
Watawala ndio walichoma mwendo Kasi

Jifunzeni maandamano kutoka nchi nyengine, maandamano sio kuchoma Mali za umma na Mali binafsi.
Narudia tena mkuu, wewe ni mpumbavu.

Tangu upate akili ulishawahi kuona Tanzania ikaruhusu maandamano, wapi na lini? Unadhani watu hawana madukuduku wanataka serikali iwasikilize?

Watu wana hasira, serikali kuteka na kuuwa raia kisa maoni tu, unadhani nani anafurahi, serikali kufisadi rasilimali, hakuna haki wala usawa kisiasa...

Futseke zako!!
 

Kweli nchi inaendeshwa kihuni huni tu. Mtu anakaa nyumbani anaamua nini kifanyike wapi . Sasa tangu lini kesi ya Uhaini inakuwa na dhamana? Au Heche kabadilishiwa mashtaka? Na lini watawaachia vijana wetu akina Niffer?
 
Hizo term & conditions hakuna hata 1 serekali itakubali. Pili kwani maridhiano wanatakuwa kufanya na nani? Chadema? Kama ni chadema misimamo ya Lissu sidhani kama atakubali kufanya maridhiano na watu waliomtesa kwa kuwango alichopitia.
Vyama vingine? Haviaminiki kwa wananchi. Ndio waliokubaliana na serekali na ccm kufanya huu uchafu unaoitwa uchaguzi.
Hii ngoma bado mbichi.
 
We K nini! Kama hao manyang'au wenzio wangeamua kutenda haki, je haya yangetokea?
Sasa wao hawatendi haki na nyinyi munaharibu miindombinu mukifikiria munawapata wao? Wanaoteseka Bado ni sisi wananchi. Tutumie akili kutatua matatizo na sio hisia
 
Kuna makosa yanasameheka lakin si mauaji. Even serikali haisehi murders , unakula cha maisha
Mkuu viongozi wa serikali ni binadamu kama sisi nao pia wana mihemko ambayo inasababisha wafanye vitu wasivyotarajia. Ni kama vile tu unakuta watu wanapiga kibaka mpaka wanaua kisa kaiba kuku. Na viongozi ni zao la watu kutoka chini, tabia ni zilezile tu japo wanatakiwa wawe mfano mzuri kwa wanaowaongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…