Pombe feki zinalipa sana. Walevi jiandaeni na DIALYSIS!

Binafsi nlikuwa simuelewi Jamaa yangu mmoja Kila akija TZ siku hizi anakuja na vinywaji vyake, hanunui pombe Kali bongo hata siku moja, anakuja na mabapa Yake from State, Sikuwahi kumuuliza maybe inaweza kuhusiana na hii mada
 
Umri gani wewe wakati ulizaliwa 1992. 😆😆😆😆
 
Wewe ndiyo mama yangu?
Je unajuwa umesababisha vifo vingapi na kuacha mateso makali kwa familia za wasomali na wahabeshi uliokuwa unawavusha kimagendo kuwaingiza msumbiji? Je unajuwa mikono yako ilivyotapakaa damu? Hilo huoni ila unaona tu watu wazima wakifurahia kunywa pombe eti inakuuma. Kijana mdogo kama wewe wa 92 umeanza ukatili wa kusafirisha binadamu hata 18 ukufika. Wee katili na huna uthubutu wa kukemea maouvu yoyote kwenye jamii.

Damu za watu zinakulilia endelea kuishi na laana ukisubiri hukumu.
 
Wewe ni wa ajabu kweli wao wamekimbia machafuko kwao wamepambana wamevuka Kenya wanatakiwa waingie Mozambique one way ya kwenda bondeni haya mimi uhusika wa damu za familia zao nahusikaje?
 
 
Dah kumbe mwamba kapitia mengi sana. Nisimuhukumu bure. Ngoja nianze kumfollow.

Kingsharon92
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…