Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Kwanza yule Mzee simuamini, sidhani kama anaijua bibilia vizuri, maana nikimuuliza maswali deep yahusuyo bibilia ananza kunipotezea kisha anahama kwenye siasa na kuanza kunieleza siasa za akina Mfaume Kawawa na Bibi Titi.
Labda hukumpata aliyetengenezwa vizurihairuhusiwi mimi nimekula nikiwa kwenye harakati za mtu mweusi ila sijawahi kupata utamu wa hayo makitu kama watu wanavyo msifia
Nakubaliana nawe kwa kiasi fulani, kwa sababu kipindi fulani alikuwa anaanza tu kuusoma ule mstari wa kwenye bibilia, "masikini mpe pombe asahau shida zake..." (Sijui unapatikana kwenye kitabu gani).Anajua fika. Na amefanikiwa kukufanya umuone hajui.
Hataki baadaye umuulize kama anaujua ukweli why haufuati
Bar ya kanisa ??Weekend Kareem. Niko hapa St. Peter's, Oyster Bay, kwenye Bar ya kanisa.
Niko na wadau wangu wa miaka mingi, imani zao ni za msimamo mkali dhidi ya ulaji wa Nguruwe, a.k.a Kitimoto.
Wananichana makavu. Ili uishinde roho ya ulaji wa Kitimoto, ni lazima uishinde pombe, kinyuma na hapo, hata ukiwa umebobea kiasi gani kwenye mafundisho yako makali ya dini lazima tu mnyama a.k.a mdudu atakuangusha tu.
Samaki Fulani hivi ukimpata na ugali wa Dona basi dunia yote unaiona Iko mfukoni mwakoKamongo ni nini?
Kaka umewahi kula kitimotoKitimoto ni hatari zaidi ya pombe na dawa za kulevya
Ndio, na kwasababu yake mpaka leo ni mgonjwa nipo kitandaniKaka umewahi kula kitimoto
Babu yangu alikuwa anakunywa sana, ananywea ndani tu yeye, anakula mabata, kamongo, gogogo, nembe, mbofu, na makambale kama hana akili nzuriMadhehebu ambayo waumini hufuatiliana maisha binafsi na kupeleka kanisani hufanya waongeze usiri tu na siyo kuacha.
Kulewa kwa siri ni kipengele,ndiyo sababu kukuta msabato mlevi ni ngumu.
Ukiweza kula nguruwe na kunogewa basi hushindwi kula nyama ya mtu na kunogewaNguruwe mbona ni nyama inapatikana hovyo hovyo tu hamkinai tu
Naona unamuhamasisha huyo jamaa mkuu. Usifanye hivyo sababu kitimoto kitaadimika.Kaka umewahi kula kitimoto
Ohh yesBar ya kanisa ??
Nakubaliana nawe kwa kiasi fulani, kwa sababu kipindi fulani alikuwa anaanza tu kuusoma ule mstari wa kwenye bibilia, "masikini mpe pombe asahau shida zake..." (Sijui unapatikana kwenye kitabu gani).
Halafu huyooooo! Kwenye kilabu cha pombe. Dah! Kumbe ni defensive mechanism tu!
AjabuOhh yes
Haha acha usenge mkuu. Kitimoto imekuketea shida GaniNdio, na kwasababu yake mpaka leo ni mgonjwa nipo kitandani
Kanisa mama wa makanisa yote dunianiAjabu
Lile dude siyo la kula,nimeona picha ya x ray sijui UV ya dem mla kitimoto,hao wadudu mwilini!Ndio, na kwasababu yake mpaka leo ni mgonjwa nipo kitandani
Imemletea hamu ya kitimoto zaidiHaha acha usenge mkuu. Kitimoto imekuketea shida Gani