Pombe ndio chanzo kikuu cha Waislam na Wasabato kula kitimoto

Hahaahaaaa.....kamongo hapana aseeee, kwanza anatisha sana hata kwa muonekano wake. Nilibahatika kuwaona Igunga wakiwa wametoka kuvuliwa walikuwa wengi sana zaidi ya thelathini , size tofauti tofauti wakubwa kwa wadogo. Jamaa walikuwa na marungu wanawapiga kwenye vichwa ili kuwaua halafu wanawatengeneza kisha wanawakatakata vipande wanauza.

Kitimoto nimekula ukubwani (mambo ya rika) aseeee nilijuta!!.... Nilivimba halafu nikawa nawashwa mwili wote najikuna kwa takrinani siku tatu nikaona isiwe taaabu nikaachana nae huyo mdudu. Baada ya miaka mingi nikaja kushawishiwa nikala tena acha niote!. Nilikuwa nikilala usingizi naota nafukua fukua na pua lake lile halidhuriki na viwembe , vijiti, miiba , misumari chaaaaaahhhhh!....Kwakweli Mungu ameumba daah! πŸ˜†
 
Hahahaaaa.......

Pua la nguruwe ujue linafukua kuzidi magreda , bulldozer, excavator, tractor, backhoe na mitambo yoote uijuayo πŸ˜†πŸ˜†
 
Jamaa rajabu anakugonga hatari tena hua anapeleka hone anaonba lile futq (ngozi itolewe kabisa ili hone wasijue )basi jamaaanamtolea lingozi la nje anapeleka kilo 3 anaenda weka kwenye friji anatafuna mdogo mdogo hadi kijshe anaagiza tena
 
ni kweli anatisha mnoo mi siwezi hata kumgusa akiwa mzima au amekufa, namsubiri mezani pekeake

poleni sana aseee hata na mimi ishanishinda ko nimeachana nayo japo haijawahi kuniletea shida kubwa zaidi ya kunikaa kooni na tumbo kujaa pekeake,, vingine tuwaachie walio vizoea tu
 
Hakuna kitu kinachoweza kujaribu au kujenga kama maneno.

Manenoyanaweza kuwa dawa au sumu, hasa mtu akikuaminisha udogoni .
 
Naota ndoto za kutisha kama vile Kufukua fukua na pua lake lile....
 
Je mataifa Wakristo wanapaswa kufuata mila na desturi ambayo ni mambo ya Agano la kale la wayahudi nikiwa na maana Torati na sheria za kiyahudi badala ya Imani kwa Yesu Kristo kama msingi wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…